Dar - Mwanza & Hotel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dar - Mwanza & Hotel

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dingswayo, Jun 24, 2009.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ninataka kufanya safari ya kikazi kutoka Dar hadi Mwanza. Naomba kuuliza je nauli ya ndege ni kiasi gani? Bei za hoteli (medium prized) Mwanza ni kiasi gani kwa siku? Nitashukuru sana nikipata taarifa hizo.
   
 2. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Waweza tumia offer za sabasaba ATC sh 240,000/- return ticket. Otherwise around tzs 350,000 return. Hotels medium range btw 20,000 na 30,000, You can google as well.
   
 3. I

  Ipole JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 296
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama alivyoongea Kaniki ni sahihi kabisa
   
 4. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Nashukuru sana kwa taarifa hizo. Safari yenyewe natarajia kuifanya January mwakani, kwa hiyo nadhani hizo offers za Sabasaba za ATC zitanipita. Ningeweza ku google lakini nilikuwa nategemea taarifa halisi kutoka kwa wenyeji. Asanteni sana wakuu.
   
 5. GP

  GP JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  you are not serious my friend!, wewe safari unataka kuifanya miezi 6 mbele unaulizia gharama leo, hujui bongo kila siku gharama zinapanda na kushuka, yani hazieleweki?, duh

  [​IMG] [​IMG]
   
 6. M

  Masatu JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2009
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hah hah typical uswahili! miezi sita mbali sana eeeh no wonder tupo hapa tulipo.

  Talk abt last minute dotcom!
   
 7. G

  Gashle Senior Member

  #7
  Jun 25, 2009
  Joined: Mar 30, 2007
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuna LaKairo Hotel (something like that) ni hotel nzuri tu, bei (nafikiri kwa kumaanisha u medium priced) ni kuanzia TZS 40,000 kama sikosei. Hotel ni nzuri sema mazingira ya nje ya kawaida. Kuna Vizano (something like that) nayo si haba! Kwa ujumla Mwanza kuko poa tu, hata kwa budget kiduchu waweza kukaa siku za kazi zako. Kimbembe kama ulikuwa unakwenda Zanzibar...
   
 8. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #8
  Jun 25, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ATC kwa taarifa nilizo nazo (za uhakika) return ticket ni Tshs 200,000/= Mwanza - Dar.

  Hotels nzuri kwa Mwanza ni mbili tu (kwa mawazo yangu), LaKairo na Tai Five. Bei zake ni kuanzia Tshs 50,000/= ndipo unapata chumba cha standard. Kama cash ni tatizo basi Vizano inafaa kwani hata Tshs 30,000/= unapata chumba.

  :)
   
 9. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nyie vipi wakuu? Hamjui huyu jamaa hiyo safari wanaenda wangapi huko na watakaa kwa muda gani! Kama ni business trip na kny organisation yao ni mwanzo wa mwaka wa fedha, yes he needs to get the general picture ya bei za huduma na bidhaa mbalimbali.....! hizo bei zikishawekwa kny budget wengine wanapeleka kny board for approval etc!

  Hata kama ni private tour, lazima upange mapema kabisa ili uweze kujua labda kwa kila mwezi unahitaji kusave shilingi /dollar ngapi kufanikisha safari yako!

  Kufanya mambo kwa zima moto ndi kumeifikisha nchi yetu hapa tulipo....that's why hata issues za utalii hata wa ndani tu....people can't afford kwa sababu ya poor planning!...tubadilike.....Hongera Dingiswayo kwa kuwa na tabia ya kuplan mapema!
   
 10. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Asante sana Next Level kwa kufafanua kwa niaba yangu. Mimi naishi na kufanya kazi mojawapo ya nchi za magharibi, ambayo wana miradi mbalimbali huko Tanzania. Ninatakiwa kwenda huko January kufanya evaluation ya mojawapo ya miradi ambayo tunaidhamini huko. Hivyo natakiwa niandae budget plan mapema iwezekenavyo ili iingizwe katika jumla ya mipango itakayofanyika mwakani. Wenzetu huku huandaa mapema mno shughuli zao, na vilevile kuweka kipengele cha mfumuko wa bei kama utakuwepo.
   
 11. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Asante sana kwa taarifa hizo, hakika zitanisaidia. Nime google LaKairo na nimeweza kuiona. Kunaonekana kwa ni mahali palipotulia. Tai Five sikuiona.
   
 12. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Dingswayo,
  Najua makampuni mengi ya kigeni huwa wanawalipia watu wao fullboard hotelini. Yaani hawakupi Perdiem mkononi ukatumie unavyotaka.
  Kama ni hivyo basi nenda the best Hotel in Mwanza ambayo ni Tilapia na gharama zake ni USD 90 na USD 75 for non resident and for residents respectively. Waweza kuingia kwenye website yao tilapia. Kama wanakupa Perdiem ukatumie upendavyo mwenyewe basi kuna Hotel mpaka za T.Shs. 15,000 (RAMADA, Aspen etc) na ni nzuri tu.
   
Loading...