Dar: Mwanamke achomwa visu vya mbavu muda kwa wivu wa mapenzi

Kwaio unajimwambafai kumsomesha ili uzini nae alafu uko kujimwambafai kwako ndio uite msaada na Mungu akulipe.?

Wacha kumuhusisha Mungu alie hai na wa kweli ktk mambo ya kishenzi.
Ushauri wangu, ukiamua kumsomesha...Fanya kama unatoa sadaka! Mungu atakulipa fadhila zako!
 
ada inauma sana jamani mtuelewe tu
Hizo zinaitwa cost of love ni non refundable ukikataliwa kuoa .Hata ukienda mahakamani akisema ndio alinisomesha Lakini simtaki hizo pesa zake alikuwa akizitumia Kama rushwa ya kunihonga nimkubali simtaki.Aweza. Kukupeleka hata Takukuru akitaka
 
hakuna asiyejua hilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom