Nasikia kafa. Ilikuwa rızası ya kichwa.Kwa hiyo hajafa? Kama hajafa ni jambo la kushukuru Mungu kwa kweli
Hawa wauaji wa Uganda warudi kwao sasa
Sasa hao ni wajinga, wakiua watu hivi ndio wanachochea maandamano zaidi. Samia kaharibu sana nchiNasikia kafa. Ilikuwa rızası ya kichwa.
Genge la Abdul linaua raia huko majumbani ili kutia watu Hofu. Hawa jamaaa inabidi wanyongwe pale uwanja wa taifa.
Tegeta JWTZ ndo walikuja kuwashughulikia.Haya ndio madhara ya kuteua watu wasio na sifa katika sensitive posts.
DGIS anaweza ingiza kikosi cha nje kama kweli kuna waganda halafu kufanya Kazi uncoordinated na vyombo vya ndani bila ya kuleta madhara kama haya.
Jamaa wakubali yaishe tu salama kuliko kuongeza hasira zitakazotaka malipo ya visasi.
Kundi la AbdulNdo lile kundi la wanajeshi 500 waliotoka Uganda
Hali ya sasa siyo lazima uwe umeongelea siasa au hukuongelea. Ni mtego wa panya.... kuingia walioko na wasioko. Ndiyo maana kila siku tunaambiwa tukemee viongozi wabovu kabla mambo hayajaharibika. Ni watanzania wengi walikuwa wanajifanya eti ''mimi sitaki siasa'' bila kujua madhara yake.Kwani hivi karibuni aliwahi kuongelea siasa kwa ukweli na uwazi?
Hao waliingizwa na Abdul mtoto wa Rais na wanakuwa coordinated na Mafwele.
Waiteni JWTZ waje hapo wawashughulikie.
Hawakuingia kupitia Jeshi. Aliwaingiza DGIS kupitia dawati la siasa la TISS wanaofanya kazi chini ya malekezo ya Samia, Abdul, Mchengerwa na Waziri Salum katibu wa RaisKwa hiyo Jeshi linafahamu hilo na imebariki hao Waganda wawepo nchini.......!!?
This is some ICC level atrocities.Haya ndio madhara ya kuteua watu wasio na sifa katika sensitive posts.
DGIS anaweza ingiza kikosi cha nje kama kweli kuna waganda halafu kufanya Kazi uncoordinated na vyombo vya ndani bila ya kuleta madhara kama haya.
Jamaa wakubali yaishe tu salama kuliko kuongeza hasira zitakazotaka malipo ya visasi.