samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,237
Kwanza mlikuwa wa mwisho kimkoa katika kujiandikisha kura za serkali za mitaa mmeona sasa said merk sadiki anavotamba hapo diamond jubilee,hivi mko upande gani wa mabadiliko au nyie ni kujirusha tu na kushabikia mipira,miziki,taarabu.eti nawauliza tena .je hamjui ushindi wa ukawa utatokea kwenu mkiamua,uliza mwaka 1995 ilikuwaje kura za dar zilipovurugwa?mi sipendi hebu BADILIKENI haraka
Wameshawashtukia ukawa wazushi tu bila tukio hawana la kuwahadaa wananchi. Wala ruzuku tu.
Mkuu wala usiwe na shaka juu ya hilo UKOMBOZI wa pili unakaribia! Ukiona WAZARAMO wameshaanza kujitambua, tayari ujue mwakani 2015 kazi ipo! Kule Kimanzichana-Mkuranga inasemekana wamechagua wajumbe wote wa CUF kakini Mwenyekiti ni wa CCM cha ajabu matokeo yametangazwa saa 10:00 usiku baada ya shinikizo kali kutoka kwa mtu mmoja mkubwa na mtawala anayetoka jimbo hilo!Kwanza mlikuwa wa mwisho kimkoa katika kujiandikisha kura za serkali za mitaa mmeona sasa said merk sadiki anavotamba hapo diamond jubilee,hivi mko upande gani wa mabadiliko au nyie ni kujirusha tu na kushabikia mipira,miziki,taarabu.eti nawauliza tena .je hamjui ushindi wa ukawa utatokea kwenu mkiamua,uliza mwaka 1995 ilikuwaje kura za dar zilipovurugwa?mi sipendi hebu BADILIKENI haraka
Samaki mchanga wape bigup wana Dar es salaam ....wana ukawa wamepata 25% ccm 75% lakini unajua kuwa serikali nzima inaishi Dar? usalama wote wanaishi Dar ....wakuu wote wa majeshi wako Dar .......wajuaji wote ...wasoma magazeti wote ..much know wote wanashi Dar......Samaki mchanga vita ni kali kuliko mikoani ....sasa unadhani ccm hapa Dar ndipo ikulu ipo ....ghafla tu wakubali wapokwe Dar .....taratibu ndiyo mwendo tutaelewana tu ni jambo la Muda
Ukawa si mnawatukana watu wa Dar kuwa wanakula miguu na utumbo wa kuku?