DAR: Mkuu wa Wilaya Ilala aagiza nyumba zaidi ya 200 kubomolewa bila fidia

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema ameagiza nyumba 200 zilizopo kwenye bonde eneo la Majohe zibomolewe na waathirika wasilipwe fidia.

Hii inatokana na ujenzi wa nyumba hizo kuathiri mtiririko wa maji kwani ziko kwenye mkondo maji na husababisha maji kufurika na kuharibu miundombinu hasa barabara ya Pugu-Majohe.

Amewashangaa wananchi walionunua viwanja kwenye eneo hilo na kujenga huku wakiona ni eneo la bondeni na kuamuru ujenzi usitishwe.

Amesema kutoka kwenye bonde hadi mita 60 pande zote haitakiwi mtu kujenga na watakaojikuta wapo ndani ya umbali huo waanze kubomoa wenyewe

Mkuu wa Wilaya anapaswa pia kujua Mtiririko wa Mto sio constant,

Mkuu wa Wilaya anajua Tofauti ya Mita 60 kutoka kwny Bonde na Mita 60 kutoka kwny Kingo za Mto?

Inaonekana hajui tofauti hiyo ndio maana Tangazo lake linazungumzia Bonde wakati Sheria inazungumzia Mita 60 kutoka kwny Kingo za Mto sio Mita 60 toka Bondeni!

Leo Mkaazi anaweza kuwa Ndani ya Mita 60 kesho anaweza kuwa Nje ya Mita 60 kutokana na mambo mbalimbali ikiwemo

1) uchafu ndani ya Mto hivyo Mtiririko waMaji kubadili Uelekeo ,

2) Shughuli za Uchimbaji Mchanga kwny Kingo za Mito hivyo kuongeza Upana wa Mto na hivyo hata aliejenga Nje ya Mita 60 kutoka kwny Mto anaweza kujikuta ndani ya hizo mita hizo!

Hayo yote Mawili yangeweza kuzuiwa na Mamlaka husika za Serikal!

jee Watazingatia Hilo au wataenda tu na futi kupim Mita 60 bila ya kujua Hali hiyo?

Mh. Waziri wa Ardhi anasisitiza kila Mtu akalipie kodi ya Majengo na Viwanja bila ya kujali ni maeneo yaliyopimwa au laa sasa na hao 200 wa Majohe wakalipie au wasubiri hatma yao?
 
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema ameagiza nyumba 200 zilizopo kwenye bonde eneo la Majohe zibomolewe na waathirika wasilipwe fidia.

Hii inatokana na ujenzi wa nyumba hizo kuathiri mtiririko wa maji kwani ziko kwenye mkondo maji na husababisha maji kufurika na kuharibu miundombinu hasa barabara ya Pugu-Majohe.

Amewashangaa wananchi walionunua viwanja kwenye eneo hilo na kujenga huku wakiona ni eneo la bondeni na kuamuru ujenzi usitishwe.

Amesema kutoka kwenye bonde hadi mita 60 pande zote haitakiwi mtu kujenga na watakaojikuta wapo ndani ya umbali huo waanze kubomoa wenyewe

Mamlaka hiyo kaipata wapi?na yeye ana ujuzi gani wa ki uhandisi hadi ajue hilo?
 
Mkuu wa Wilaya anapaswa pia kujua Mtiririko wa Mto sio constant,

Leo Mkaazi anaweza kuwa Ndani ya Mita 60 kesho anaweza kuwa Nje ya Mita 60 kutokana na mambo mbalimbali ikiwemo

1) uchafu ndani ya Mto hivyo Mtiririko waMaji kubadili Uelekeo ,

2) Shughuli za Uchimbaji Mchanga kwny Kingo za Mito hivyo kuongeza Upana wa Mto na hivyo hata aliejenga Nje ya Mita 60 kutoka kwny Mto anaweza kujikuta ndani ya hizo mita hizo!

Hayo yote Mawili yangeweza kuzuiwa na Mamlaka husika za Serikal!

jee Watazingatia Hilo au wataenda tu na futi kupim Mita 60 bila ya kujua Hali hiyo?

My. Waziri wa Ardhi anasisitiza kula Mtu akalipie kodi ya Majengo na Viwanja bila ya kujali ni maeneo yaliyopimwa au laa sasa na hao 200 wa Majohe wakalipie au wasubiri hatma yao?
Leo umeongea point jamaa yangu
 
Back
Top Bottom