DAR: Mfanyabiashara wa dawa za kulevya akamatwa

Duh umetoka jela miezi mitatu tu unaanza tena kujishughulisha na biashara hiyo haramu! Sikio la kufa halisikii dawa.
 
Hawa wauza Ngada huwa nasikia tu wanakamatwa ila sijui kesi zao zinaishaje
 
Search warranty ni muhimu pale unapoenda kukagua makazi ya mtu, ila isipokuwepo sio kigezo kwamba eti watu watashindwa kukukagua. .


Umuhimu wake ni nini search warrant kama hata isipokuwepo bado utakaguliwa?
 
kwanza kwa nini ajiite kiboko? Nakat anajina lake zuri tu, upelelezi uanzie hapo mana Hio tu ni kesi ya kujibu. N kama kwenye ile kesi ya msuya kwa nini yule jamaa ajiite majeshi? Hio nayo n kesi ya kujibu
 
Nimeipenda sana hii very professional arrest no kukurupuka kama mkuu Fulani, jina nimemsahau
 
Safi sana awamu ya Tano kamata wote mpaka wale watoto wa wanasiasa maarufu. Walishatajwa sana katika social media mbalimbali na ninaamini kuwa vyombo vya intelligency maeneo hayo ni lazima viwe vimefanyia kazi. Tusiogope tusonge mbele.
Huwezi kushinda vita dhidi ya mihadarati..kidoogo taliban waliweza..mbali na hao hakuna aliezifuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…