DAR: Mfanyabiashara wa dawa za kulevya akamatwa

Ah kwa kwetu hapa kesho kutwa mutasikia yuko nje au hamusikii tena kesi yake mtakuja ona hapa
 
Pesa tamu sana ukiitafuta kihalali,
 
Safi sana....Kiboko muuza unga wa siku nyingi sana ameingiza makilo na makilo china...kuchukua muda mrefu kumkamata ilitokana na jamaa kuwahonga Hela maafisa kadhaaa......
Mtu kama huyu ni kumpeleka gereza Ngumu akapasue mawe tu atie akili.....

Ova

Aisee mkuu mbona sielewi elewi

Kuna Uzi wa Feb 2017 alikamatwa na Hawa Hawa DCEA sio polis tuliozoea wanahongwa

Halafu hii may 2018 anakamatwa Tena?

Ilikuwaje au ndo Mambo ya rupia yashatinga Hadi kitengo Cha Sianga?
 
Mbona kingpins wa Cartels za unga huku Bongo hawako smart kama wakina Guzman,Pablo,Rodriguez,Herrera etc wa Colombia

Kwanza unakaa na unga nyumbani wakati wenzio wanna warehouses na underground tunnels wanakofanyia mambo yao .Pia wanahonga kinyama . Anyway kazi nzuri DCEA
 
Halafu nasikia mpaka kuwakamata wanawawekea unga Cc Mzigua90 ukuje usome hapa
 
Akili fupi wewe,hujuwi jambo lenye maslahi ya uma..unajali tumbo lako tu bila kujali jamii inaathirika vipi na namna unavyojaza tumbo lako.
Mwenye akili fupi ni mama yako... ukinitukna nitakutukana bila kujali matokeo!
 
Hizi ni biashara za kibabe sana na zinahitaji connection kibao ila bado siamini kama alikuwa na sembe kwenye mjengo anaoishi yeye ..
 
Link hiyo ya humu ya kabla inaeleza alikamatwa pia na nakumbuka kuisoma.. sasa alikamatwa na kuachiwa..

Yaani nini haswa kinaendelea na haya ya hawa wanaosema ya juzi tena?😱😱😱
 
Aisee mkuu mbona sielewi elewi

Kuna Uzi wa Feb 2017 alikamatwa na Hawa Hawa DCEA sio polis tuliozoea wanahongwa

Halafu hii may 2018 anakamatwa Tena?

Ilikuwaje au ndo Mambo ya rupia yashatinga Hadi kitengo Cha Sianga?
Kipindi cha Nyuma kuna watu inaonekana walikuwa huko kitengo na walikuwa wanakula nao hawa wauza sembe.....Ushahidi mwingi walikuwa wanavuruga.......pia kutoa mntonyo pia.....
Huwezi amini sahvi inaweza fanyikaboperatiofanyika opération mahali fulani
Utakuta Hata mapolisi wa wilaya hiyo hawajui...kimya kimya....unajua kwann....kwa sababu kuna baadhi ya cops wako kwenye payroll Zao.....

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…