DAR LUX yadhalilisha abiria wake

Wakuu hii mada yenu nimeifikisha kwenye group letu la wana dar lux(blue) whatsapp kwa kuwa wahusika wako kule nahakika watatupa majibu mazuri na ni watu wasio ficha na pia madereva wao pia wako kule watatoa majibu juu ya hii tuhuma
 
Ulijaribu kutushawishi kuwa Mabasi ya Najmunisa ni mabaya nimekujibu sawasawa na kauli yako mbovu na nimekupa best reason ever.
Imekupasa uwe na adabu.
Tatizo unafikiria kinyumenyume nilikushawishi wewe au aliyeni quote au ashki majinuni..?
 
Basi ipumzike kwani ni binadamu yule kwamba anachoka? ikifika mwanza usiku asubuhi inayofuata inageuza kurudi dar hakuna tatizo hapo, mbona za tunduma, songea, kyela hazipumzikia? Mleta mada atakua ametumwa na wapinzani wa dar lux sio bure.
 
Wakuu hii mada yenu nimeifikisha kwenye group letu la wana dar lux(blue) whatsapp kwa kuwa wahusika wako kule nahakika watatupa majibu mazuri na ni watu wasio ficha na pia madereva wao pia wako kule watatoa majibu juu ya hii tuhuma
Hivi mbna madereva wa dar lux huwa wanaacha kazi sana? Yaani kila siku unakuta madereva wapya
 
Na pia dar lux wana tabia ya kutokuweka madereva wawili kwenye bus. Unakuta bus linatoka dar -tunduma , , ila unakuta ni dereva huyohuyo.. mpka wakati mwngne analalamika..
 
U
Unatumika si bure!
 
Buses/lorries wanaotakiwa kubadilika ni madereva. Hayo magari yametengenezwa kufanyakazi around the clock.
 
Vitu ambavyo sio realistic. Hata Dar-Kilimanjaro huwezi kwenda na kigeuza.

Watu wanaenda Dar-mwanza wanageuka na maisha yanaendelea huu utaratibu wenu wa madere wawili mmeuleta sasa hiv..tu ila hapo miaka 2-3 nyuma watu washafanya sana hzo kitu gari 1 dere 1 na
pia upande wetu wa gari kubwa huku watu wanapga dar-lusaka gar kubwa dere 1 gar 1 iwe ki ruti kifupi hicho...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…