Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,854
Basi endelea kupanda wewe ila mimi hunishawishi...Najimunisa DUME LA MBEGU. Barabara toka ikiwa ya vumbi kampuni ilitupenda na kutupa huduma safi mpaka imewekwa lami nayo imeendelea kutoa huduma!!
Hatutatupa mbachao kwa msala upitao.
Ya nini kutema BigG kwa karanga za kuonjeshwa?
Hapa naona umetumia Biology na chemistry kwenye hitimisho lako.
Yaani gari ikipumzika siku moja halafu ndio ifanye safari inaondoa uwezekano wa kuanguka!?
Physics inakataa!!!!!
Kitu kisichowezekana sababu safari ya Dar-Mwanza ni ndefu sanakweli kabisa kak, dar lux wako vizuri na wanautaratibi mzuri. nadhani huyu mtoa mada atakuwa katumwa kuwachafua maana njia ya mwanza lazima basi moja liwe mwanza la stand by au kama yeye ni dereva aseme kuwa hawalipwi vizuri. maana mfano ukitoka mwanza ukaingia morogoro saa nne kasoro usiku hamruhusiwi tena kuendelea kuja dar hadi kesho yake saa 12 asubuhi. je huyo dereva atageuza saa ngapi?
Ulijaribu kutushawishi kuwa Mabasi ya Najmunisa ni mabaya nimekujibu sawasawa na kauli yako mbovu na nimekupa best reason ever.Basi endelea kupanda wewe ila mimi hunishawishi...
wewe kweli hamnazo basi linapokuwa mwanza au mwanza maana yake madereva pamoja na wahudumu wanapata muda wa kupumzika kwa ajili ya safari ya siku inayofuata. inamaana hujui hata kuwa basi halianguki ila linaangushwa? basi bila dereva linatembea? du!
Sidhani kama anelewa dar to mwanza mbali kiasi ganiHebu fafanua vizuri Dar-Mwanza wanaenda nakugeuza? Unajua umbali wa kutoka Dar-Mwanza? Au umemaanisha madereva hawabadilishani/hawapokezani ruti zao?
Kilimanjaro mbali sana, hata dar -same bado itakua ngumu!! Mleta mada sijui ni umbea tu au ana lengo zuri ila tatizo uandishiVitu ambavyo sio realistic. Hata Dar-Kilimanjaro huwezi kwenda na kigeuza.
Usiwadhalilishe wanawake, tutaku note na upate shida kama trump anavyojaribu kujisafisha na tuhuma za udhalilishaji wanawakewivu wa kike.