PrinceNsabho
Member
- Oct 27, 2015
- 34
- 27
Eeeti....jamani..Vitu ambavyo sio realistic. Hata Dar-Kilimanjaro huwezi kwenda na kigeuza.
Hebu fafanua vizuri Dar-Mwanza wanaenda nakugeuza? Unajua umbali wa kutoka Dar-Mwanza? Au umemaanisha madereva hawabadilishani/hawapokezani ruti zao?
Sijaelewa, nitarudi baadaye!
Sijaelewa ni kwa mazingira yapi ya udhalilishaji wa abiria? Isipokuwa nimeona kama watumishi wa kampuni ndio hawana mazingira mazuri ya kazi (May be)
Hapa naona umetumia Biology na chemistry kwenye hitimisho lako.mtoa mada anamaanisha basi linapofika mwanza au dar linatakiwa lianze safari siku inayofuata ambapo ni kinyume na sumatra. kila kampuni inatakiwa kuwa na basi moja stand by katika mkoa husika ambapo basi linalofika leo linatakiwa kuondoka kesho kutwa. nadhani sumatra pamoja na askari wa barabarani wangetilia mkazo katika hili kwani limesaidia sana kupunguza ajali. pamoja na aliyosema mtoa mada bado dar lux wanajitahidi sana katika kutoa huduma nzuri ndani ya mabasi yao kwa wateja.
Basi alitakiwa aseme hivyo mana alikuwa anakitu cha muhimu ila uwasilishaji ndo kachemka...ila Dar Lux wapo vizuri lakini kuna mikokoteni kama Najimunisa,Green Star(sijui bado lipo)..haya si ya kujiroga kupanda safari ya Mwanzamtoa mada anamaanisha basi linapofika mwanza au dar linatakiwa lianze safari siku inayofuata ambapo ni kinyume na sumatra. kila kampuni inatakiwa kuwa na basi moja stand by katika mkoa husika ambapo basi linalofika leo linatakiwa kuondoka kesho kutwa. nadhani sumatra pamoja na askari wa barabarani wangetilia mkazo katika hili kwani limesaidia sana kupunguza ajali. pamoja na aliyosema mtoa mada bado dar lux wanajitahidi sana katika kutoa huduma nzuri ndani ya mabasi yao kwa wateja.
Wenzako hulipia fedha kwa ajili ya kujifunza uandishi wa habari, wewe naona unadandia kiberenge.Mabasi ya DAR LUX yafanyayo safari zake ktk baadhi ya mikoa hapa nchini imejikuta ikidharirisha abiria wake baada yakuonekana inapendwa na abiria wengi. Uongozi wa compuni hiyo umejikuta unaingiwa tamaa nakujikuta inalazimisha madereva wake kufika nakugeuza siku hiyo hiyo bila kujali umbali wa safari anayoenda ( yaani go and return) bila kupumzika kwakuwa wapo wawili ktk kila gari. Hali hiyo leo imesababisha Dereva kusinzia mpaka saa moja kasorobo nakuibua taharuki kubwa kwa abiria wa gari Na.2 la Dar-Mza.Hizo ni taarifa nilizozipata kwa mmoja wa wafanyakazi wakampuni hiyo ambae chonde ameomba kuhifadhi jina lake. Kwa mujibu wa bwana huyo ameongeza kusema hata ujira wa madereva wake hauendani na umbali wa safari za Mza tena kwa kwenda nakugeuza.Tuwaombe mamlaka zinazohusika na safari za mabasi kuchunguza hilo swala kwakuwa ni la hatari kwa usalama wa abiria na madereva wake
Cyo kwenda nakugeuza kwa maana ya mchana mmoja, nikwamba mfano gari linatoka Mza asbh j'mosi linafika dar saa saba usiku afu kesho yake asbh gari hilo hilo lirudi Mza huko ndiko namaanisha, lkn pia muda wa mabasi kuondoka stendi ni saa 12 kamili na abiria wanakuwa hapo saa moja kabla ya muda, hivyo kukaa mpaka saa moja kasoro unaweza kuiona taharuki niliyosema
Nawasiwasi na wewe si mtu utakuwa umetumwa jini weweMabasi ya DAR LUX yafanyayo safari zake ktk baadhi ya mikoa hapa nchini imejikuta ikidharirisha abiria wake baada yakuonekana inapendwa na abiria wengi. Uongozi wa compuni hiyo umejikuta unaingiwa tamaa nakujikuta inalazimisha madereva wake kufika nakugeuza siku hiyo hiyo bila kujali umbali wa safari anayoenda ( yaani go and return) bila kupumzika kwakuwa wapo wawili ktk kila gari. Hali hiyo leo imesababisha Dereva kusinzia mpaka saa moja kasorobo nakuibua taharuki kubwa kwa abiria wa gari Na.2 la Dar-Mza.Hizo ni taarifa nilizozipata kwa mmoja wa wafanyakazi wakampuni hiyo ambae chonde ameomba kuhifadhi jina lake. Kwa mujibu wa bwana huyo ameongeza kusema hata ujira wa madereva wake hauendani na umbali wa safari za Mza tena kwa kwenda nakugeuza.Tuwaombe mamlaka zinazohusika na safari za mabasi kuchunguza hilo swala kwakuwa ni la hatari kwa usalama wa abiria na madereva wake
Basi alitakiwa aseme hivyo mana alikuwa anakitu cha muhimu ila uwasilishaji ndo kachemka...ila Dar Lux wapo vizuri lakini kuna mikokoteni kama Najimunisa,Green Star(sijui bado lipo)..haya si ya kujiroga kupanda safari ya Mwanza
Nafikiri alimaanisha madereva wapate muda wa kupumzikaHapa naona umetumia Biology na chemistry kwenye hitimisho lako.
Yaani gari ikipumzika siku moja halafu ndio ifanye safari inaondoa uwezekano wa kuanguka!?
Physics inakataa!!!!!
Basi alitakiwa aseme hivyo mana alikuwa anakitu cha muhimu ila uwasilishaji ndo kachemka...ila Dar Lux wapo vizuri lakini kuna mikokoteni kama Najimunisa,Green Star(sijui bado lipo)..haya si ya kujiroga kupanda safari ya Mwanza