Dar linked to Italian mafia dirty money scandal!

Money Laundering (Utakasaji Fedha) hivi sasa ni tatizo kubwa sana duniani!! Hata hivyo, endapo mabenki yetu yatajipanga sawa sawa basi ni tatizo rahisi sana kulidhibiti. Na ili mradi hatuna stock exchange market iliyo strong basi udhibiti wa ML unaweza kutuwea rahisi zaidi.

Illegal, lkn bora tu tuzibe jicho moja na tuache pesa hiyo haramu iingie kwa siri hapa kwetu mradi tu inaletwa kimiradi/infrastructure. Siasa ya CCM ingekua ni pamoja na kuziba hiyo siri isitoke nje, ingesaidia sana kwa TZ kwa kipindi, tukibanwa ndio tudhibiti.
 
Back
Top Bottom