kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
Mabasi yote yanalala kaliua, kesho asubuhi wanaamkia kgnauli kwa basi ni 60000/= kupitia Dar_Tabora_Kigoma gari zilizopo ni Saratoga,Adventure na Ota high class,Kutoka dar mnaweza kutumia siku moja ila mtafika kati ya saa sita au saa saba usiku au mnaweza kulala njiani kisha kigoma mkafika saa tatu au saa nne asubuhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah "sogea tukae"
Asante mkuunauli kwa basi ni 60000/= kupitia Dar_Tabora_Kigoma gari zilizopo ni Saratoga,Adventure na Ota high class,Kutoka dar mnaweza kutumia siku moja ila mtafika kati ya saa sita au saa saba usiku au mnaweza kulala njiani kisha kigoma mkafika saa tatu au saa nne asubuhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajabu ya ule ugali wa lowe ni hivi, ili ule unahitaji mishikaki au samaki wakukaanga au kubanika, mchuzi no. Kingine ni kwamba, ule ugali unaweza kutumika hata wiki tokea upikwe.Hahahah "sogea tukae"
Bila kusahau ugali wa lowe/loe na ngege safari za huko bana ni shida tupu
Basi gani lina ubora zaidi?nauli kwa basi ni 60000/= kupitia Dar_Tabora_Kigoma gari zilizopo ni Saratoga,Adventure na Ota high class,Kutoka dar mnaweza kutumia siku moja ila mtafika kati ya saa sita au saa saba usiku au mnaweza kulala njiani kisha kigoma mkafika saa tatu au saa nne asubuhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mchanganuo ukoje kwa Basi na kwa treni nauli inagharimu kiasi gani?
Kwa basi tu inachukua muda gani na treni muda gani?
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ambalo sio mkweche. Mengine ni spanner mkononi kila baada ya km kadhaa inabuma.Ubora ni nini kwako?
Mwendokasi, Music, Style ya Seat, customer care n.k
Ambalo sio mkweche. Mengine ni spanner mkononi kila baada ya km kadhaa inabuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa! Treni inahusiana vipi hapo?Kama unaenda kufanya Utafiti wa Umaskini na ubishi wa Watu wa Kigoma nakushauri panda Treni
Khaa. ..!!! Una maana wana kigoma ni wachawi!!!!! Mondray na mkubhi njoeni hapaHuna sana haja ya kuwaza kuhusu nauli ya kutoka Dar hadi Kigoma Mkuu bali kama hapo ulipo kuna Waha ( wana Kigoma ) wengi mtafute tu mmoja wapo nenda nae pembeni muelezee tu hiyo nia yako ya kusafiri kwenda huko Kwao na atakusafirisha fasta tu kwa Ndumba / Ushirikina na hadi Kukurudisha Dar salama kwa gharama iliyo sawa na bure kabisa.