jogoolashamba
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 348
- 71
Pita pale nyuma wanapouza kitimoto sted yakwenda kwa ndumba utaona uchochoro pembeni mwa dar live utaniambia umeona nini
Nawazaga sana watoto wetu watakulia wapi jamani!
'Hichi' ni kiswahili ulichokisomea wapi?Anko kwa kiingereza hichi Mbagala mabibi unapata bure. ulikisomea wapi hichi kiingereza. ulipasi kweli ?
...kwa dunia ilipofika sasa hata sodoma na gomora haifui dafu...
nilikuwa nampango wakupita kimya ila MKUU umenifanya nitie neno hapa.
MKUU tunafanya uasi ila hatujafikia bado stage ya sodoma na gomola kwani ilikuwa ni balaa sana.
jamaa walimuwa wanatafunana TIGO kwakupanga duara ni mwendo wa chomekwa chomeka kwa kwenda mbele
jamaa walitaka kuwafira mpaka maraika??
unafanya mchezo nn?
.....mkuu kizazi cha sasa hakipangi foleni si kwakuwa hakiwezi bali kimeingiza ustaarabu flani, lakini wapo wanapangana na kufanyana huo ushenzi hata sasa, watu wamevuka hiyo hatua sasa wanawake wanatumia mdomo mpaka shingoni kama sehemu mbadala wa kumridhisha mwanaume. sasaivi maraisi wanasimama hadharani na kusapoti kwa nguvu zooote ushoga, na mpaka umoja wa mataifa unaunga mkono hii kitu. ukiacha huu ushenzi, watu sasa wanafanya mapenzi na wanyama,mtu anafanyo picha za ngono na punda,farasi na hata mbwa....!watu kumtukana na kumdhihaki Mungu ni jambo la kawaida kabsaaaaa sikuizi,mauaji ya ajabu kila siku na mengine meeengi hayafai kuwekwa hapa jukwaani,ila kizazi cha leo hakiangamiii si kwakuwa hakijafika level ya akina sodoma bali na agano la Mungu kwamba mpaka injili ihubiriwe kwa watu wooote kwanza ndo aje ahukumu. Neno lake linasema analiangalia neno apate kultimiza,na sio anaangalia uasi apate kuangamiza...nilikuwa nampango wakupita kimya ila MKUU umenifanya nitie neno hapa.
MKUU tunafanya uasi ila hatujafikia bado stage ya sodoma na gomola kwani ilikuwa ni balaa sana.
jamaa walimuwa wanatafunana TIGO kwakupanga duara ni mwendo wa chomekwa chomeka kwa kwenda mbele
jamaa walitaka kuwafira mpaka maraika??
unafanya mchezo nn?
chenye hasara uwa akifanywi ila chenye faida ukimbiliwa na watu rukuki ntakupa mfano hapo awali kulikuwepo na vibanda vingi vya kupigia simu kwa malipo fulani ya pesa hiyo ikapita lakini sasa hivi angalia vibanda vingi vya kutoa huduma za kuweka na kutoa pesa nayo hatima yake haijulikani na hii kitu hii inayouzwa au huduma ya kimwili nayo tutajua tu mwisho wake.
Jamani hii lugha ya malkia imekuja kwa meli hii.