bategereza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 3,314
- 1,072
Pita pale nyuma wanapouza kitimoto sted yakwenda kwa ndumba utaona uchochoro pembeni mwa dar live utaniambia umeona nini
kaka kama huko wako wengi waambie wengine waje Kimara. Wachagga wana hela hazina kazi huku. waambie waje kimara stop over kwa mtitu. watu tuna njaa ya uroda watu wanagawa tigo kwa buku nne. leteni huku mtajirike
hata huko zipo we ulizia utaelekezwa mji huu karibu kila sehemu biasha ipogo
kaka kama huko wako wengi waambie wengine waje Kimara. Wachagga wana hela hazina kazi huku. waambie waje kimara stop over kwa mtitu. watu tuna njaa ya uroda watu wanagawa tigo kwa buku nne. leteni huku mtajirike
Heshima bwamdogo
hata huko zipo we ulizia utaelekezwa mji huu karibu kila sehemu biasha ipogo
Jana ucku nilipita maeneo ya mbagala zakhemu aisee papucha inauzwa kama njugu.katika pitapita zangu nilistuka navutwa Shari.nakuniambia elfu 3000 tu.nikauliza yanini uduma yamwili UK wengine.wanasema uduma ya 071 elf 4000 serikali kama IPO wasaidie kuondoa aibu ile.kazi kwenu wana jf
Chenye hasara uwa akifanywi ila chenye faida ukimbiliwa na watu rukuki ntakupa mfano hapo awali kulikuwepo na vibanda vingi vya kupigia simu kwa malipo fulani ya pesa hiyo ikapita lakini sasa hivi angalia vibanda vingi vya kutoa huduma za kuweka na kutoa pesa nayo hatima yake haijulikani na hii kitu hii inayouzwa au huduma ya kimwili nayo tutajua tu mwisho wake.
Life its very hard when you get something per day must say thanks for God, have a lot af people can stay without eat till darkness come, when you get today don't forget tomorrow
Jaluo kuna kuPeter na kuzururaJana ucku nilipita maeneo ya mbagala zakhemu aisee papucha inauzwa kama njugu.katika pitapita zangu nilistuka navutwa Shari.nakuniambia elfu 3000 tu.nikauliza yanini uduma yamwili UK wengine.wanasema uduma ya 071 elf 4000 serikali kama IPO wasaidie kuondoa aibu ile.kazi kwenu wana jf
mimi nitapeter hapo kwenye mapito ya peter nione kama nami nitapitiwa kama walivyompitia peter jana
charger vp mambo?Nasikia hadi mkopo upo.Sasa sipati picha wakati wa kudai kulipwa mkopo huwa wanatumia lugha gani.
Inayouza mijike midume? Hujasema!!! Halafu wewe ulikuwapo ukitafuta nini? Hujasema! Saa ngapi hujasema! Ohio ni saa 6, Zakhem ni saa ngapi?Unajua mambo haya huenda na interest bwana! Interest zako wewe unayekwenda huko zimekaakaaje! Ungekuwa mlalamikaji wewe mwenyewe ungeripoti polisi! Unashangaza kutaka polisi wakafungue RB isiyo na mlalamikaji!
Mtoa mada elekeza vzr mbagala zakhem ni kubwa
Elekeza ni sehem gani ya zakhem ili tuchangie km ni kweli au umepotosha jf
Mm ninaishi maeneo hayo lkn hakuna kitu km hicho hayo yapo huko sinza oystbay nk