Dar Jangwani picha

ile ni flood plain ya mto msimbazi kwa mujibu wa mababu ule mto unahama hama na lile ndio eneo lake lote la kujidai sasa wameuzuia wanaulazimisha uwe na outlet moja tu haya ndio madhara yake
 
Nasikia walifukuza watu hapo wakaenda kujenga wao
 
Serikali ya CCM ilikua madarakani wakati kituo kinajengwa.
CCM haioni mbele full stop
 
Hivi yule bw. anayetumbua watu kila kukicha si ndio alikua waziri wa barabara wakati hiyo barabara na hilo lijengo la mwendokasi.....

Inamaana hakuona hii kitu tangu awali???[emoji48][emoji48][emoji48]
hizi barabara ni za,manispaa, zipo tamisemi
 
Jiandae kisaikolojia. Hilo linakuja kutokea very soon.
kama lemutuz atakukuwa waziri mkuu basi Kinje atakuwa waziri wa mambo ya nje wakishirikiana na Abdul.
 
Ndio utakapo jua wahandish wote tulio nao inabd warudishe vyet na kukaa tena darasani
 
Hivi yule bw. anayetumbua watu kila kukicha si ndio alikua waziri wa barabara wakati hiyo barabara na hilo lijengo la mwendokasi.....

Inamaana hakuona hii kitu tangu awali???[emoji48][emoji48][emoji48]
Umesahau huyo bwana ndie aliyenunua hata ile meli aka kivuko cha bagamoyo na pia aliuza nyumba za serikali, jamaa katufelisha sana na sasa hivi ndio amezidi kututia hasara na ununuzi wake na ujenzi usio na tija.
 
H

Hivi ni hasara kiasi gani Udart wanapata kwenye hizo gari zilizopark na kwa hakika zimeingia maji hivi tuna akili gani sisi watz?kwani ilikua lazima tujenge station hapo jangwani?Mungu aturehemu
Walipoanza kujenga hapo ndio nili prove mradi umefeli na matokeo yashatoka kitambo.
 
Huyu alipitisha ujenzi wa hizo ofisi za mwendo kasi ni wa kufungwa . hiyo ilikuwa sehema ya mkondo wa maji kupumua kabla hayashika njia kwenda baharini sasa mmeyazuia maji oneni faida yake.
 
Na kibaya ni kwamba hali hii ishawahi kutokea mara kadhaa, inavyoelekea kuna watu wananufaika na hali hii.
H

Hivi ni hasara kiasi gani Udart wanapata kwenye hizo gari zilizopark na kwa hakika zimeingia maji hivi tuna akili gani sisi watz?kwani ilikua lazima tujenge station hapo jangwani?Mungu aturehemu
 
Kibali cha kuvua kambale apo fasi ni bei gan arif 😎😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…