ubungo president
Member
- Dec 10, 2015
- 78
- 20
kusema Dar es salaam ita dorola sio kweli ila kwenda dodoma! Mji ule niujuavyo unashida ya Maji sana sina hakika kama Serikali imesha fanya maandalizi ya kutosha hasa katika kuboresha miundombinu mbalimbali kwajili ya kuwapokea maelfu ya Watu