Dar itakavyoathirika Serikali ikihama

Dar itakavyoathirika Serikali ikihama

festusfl

Senior Member
Joined
Aug 7, 2015
Posts
146
Reaction score
46
Biashara:

Nyumba nyingi Masaki, Osterbay zimepangwa na watumishi waserikali pale Serikali itakapo ondoka na watumishi nyumba zitapungua kodi na masaki itapungua thamani na ulizi utapungua.

Hotel nyingi zitadorora kama zinavyodorora sasa watumishi wengi washazoea kupiga na kufanya party hotel. Sasa uko wanakoelekea hela ipo kwenye mzunguko mdogo maana hapa kazi hii sera inahitaji kuwa makini na majukumu uliyopangiwa.

Magari yatapungua sana hapa mjini na kelele za ving'ora zitapungua

Soko la wasichana;
Kwa wale wanaopenda slope kwa mtumishi anakupa lift au ela ujue imekula Kwako jipange sasa.

Karibu ndugu ulichoona kwenye uchumi wa Dar utakuaje /effect of gvt after go Dodoma Chamwino.
 
Inabidi watengeneze branch lingne dodoma kutafuta wateja waliohama dar
 
festu umekua mkweli kabisa.. hizi kelele za humu jf za kuona kua ni tabu kuhamia dodoma nadhani hofu kuu ni hio... ndugu zangu wa dar.. tanzania ni yetu sote.. safari hii ni zamu ya dodoma... kufaidi matunda ya makao makuu... Tumuenzi Mwalimu... kwa vitendo... Dodoma Oye....
 
Dar majungu mengi bora ahamie dom tu, yaani dar itakuwa mji mkongwe kama ujiji, dodoma tunajenga na ikulu mpya tunaachana na ile ya mkoloni,
 
Dar walianza kuikataa ccm na kuamua kuchagua ukawa, ccm kwa visasa uta waweza wameamua kuelekea Dodoma waliko chaguliwa majimbo yote wakakae na wawapendao.
 
..Dsm itaendelea kuwa jiji la kibiashara na lango kuu la kuingia na kutoka Tz.

..kila wizara na idara za serikali itaendelea kuwepo Dsm. Hivyo bado kutakuwepo na watumishi wa serikali Dsm.

..upo uwezekano wa Dsm, kutokana na mahitaji yake, kuendelea kuwa na watumishi wengi wa serikali kuliko Dodoma.

..vilevile kuna uwezekano wa gharama za mawasiliano na usafiri kuongezeka ktk shughuli za serikali kutokana na serikali kuwa na center mbili( Dodoma + Dsm) za kiutawala.

..kuna FAIDA na HASARA za makao makuu kuwa Dodoma vs kuws Dsm. Tulitakiwa tuliangalie suala hili kiuchumi zaidi kuliko kisiasa.
 
Watumish watakula bata sana mana ziara zakushtukiza zitapungua,mana mpaka MTU atoke Dodoma aje muhimbil watu watakua wameshajipanga
 
Biashara itakua sana kwenye masoko makubwa mana shopping ya watu itaongezeka watokao Dom,
 
Tatizo kufikiri kwetu kunafungwa na umasikini uliokithiri.

Ukweli ni kwamba kwa nchi ya Tanzania na rasilimali ilizonazo kikitokea chama, mfumo na watu binafsi wenye uelewa na uchungu wa kusimamia rasilimali hizi ni dhahiri zaidi ya 65% ya Watanzania watapanda juu ya mstari wa umasikini kwa muda usiozidi miaka tisa. Hii haitagemea mtu yuko Nangurukuru, Kyerwa, Nkasi, Chilonwa wala Buguruni Mnyamani.

Tukishaweza kuiweka 65% juu ya mstari wa umasikini basi ni wazi katika hao wamiliki wa magari watakuwemo badala ya kutegemea wamiliki wawe wanasiasa na wezi serikalini. Kwa maana hiyo miji yote itakuwa na uwezekano wa kukua kwa maana hivi sasa mfumo wa rushwa ndio unafanya watu wengi wajirundike Dar es Salaam. Kama alivyowahi kusema Mwalimu kuwa serikali corrupt inatumikia matajiri na matajiri uchwara wote wanaioshi Dar es salaam.

Mtu anayelipwa billion 60 kushona uniforms za taasisi lakini akala pesa zote bila kufanya lolote 99% ya watu hao na makuwadi wao wanaishi Dar es Salaam. Hii inaweza kubadilisha mambo.
 
Dar majungu mengi bora ahamie dom tu, yaani dar itakuwa mji mkongwe kama ujiji, dodoma tunajenga na ikulu mpya tunaachana na ile ya mkoloni,
Ikulu ipo tayari miaka ming
 
Back
Top Bottom