Dar inawapotezea watu muda

May be nna IQ ndogo kuliko navojifikiria. Yani hapa ndio umezidi kujichanganya
 
Nakubaliana kabisa na mleta UZI; nimeishi Dar maisha kwa muda mrefu sana but nilipotoka Dar na kuja mkoani, ninayafurahia sana maisha ya huku na of course najihisi kimaisha nimepiga hatua zaidi kuliko nilivyokua naishi Dar; watu wengi wa Dar wanaishi kwa bajeti ya siku, yaani unacho tafuta kinaliwa either the same day au week, hand to mouth, kwasasa habari "leo tunakula nini" mambo hayo nimemuachia wife tu, na deal na vitu vikubwa vikubwa; mfano, "endapo hi kazi leo ikiisha, nitaishije na familia yangu"? na well, in 5 years tim, niwe nimefanya A, B, C, D ndio ninayo deal nayo. Ukweli Dar kutoka, inataka moyo hasa, mwanzoni nilipata tabu sana kufanya hiyo decision but finally niliamua but again it took me more than 3 years kuitoa Dar kichwani mwangu, mwanzoni nilikata hadi kiwanja nilicho pewa na best man wangu kwenye harusi, alitaka nimrudishie pesa kidogo tu, nilimwambia hivi, "my friend, I am not dreaming to stay here more than 5 years". Ulikua ni utoto.
 
Maisha ni vile wewe unavyoyaona!!, kuna mwana mmoja kipindi flani tulikuwa tunapiga stori kuhusu maisha, Yeye alisema hawezi kuishi zaidi ya Morogoro na Dar es salaam otherwise atoboe nje ya nchi tu.
Maoni, leta mada kama ushauri usifikiri ufikiriavyo wewe kila mtu anamtazamo kama wako
 
Kwa hiyo uanaume upi mzuri, wa dar au mkoani?
 

Dar kuna wenyewe.....ukiwa mporipori utachemsha tu!!!
 
Well, kwa yote yalioongelewa, ni mtazamo wa mtu, na kila mtu ana uhuru wa kuongea, kama kila mtu kapewa uhuru wa kuongea, na kuona anonavyo yy...

Kufanikiwa inategemea na mtu, na vitu vingi ambavyo vita mfanya mtu huyo afanikiwe

Kimtazamo wangu, kama umetoka mkoan na uko dar, unaelimu yako, umeajiriwa, usitegemee mshahara, kama unahitaji kufanikiwa. Jongeze either kwa shughuli ndogo ndogo za kibiashara.

Dar kama unafanya biashara utainjoy sana. Alaf, wafanya biashara wanainjoy life kiliko wasomi.

Ukijitia unatamba na elimu yako, utadharaulika kama mbwa koko.

Kama unafanya biashara, na unapower, either kitengo, utainjoy maisha sana ya dar
 
Mtoa mada ungemalizia "Na ukiweza kuish dar na ukatoboa wewe n mwanaume"

Sehem inayohtaj nguvu ili uish inamaana utumie nguvu na ili utoboe/ufanikiwe utumie nguvu zaid, sehem inayohtaj akili ili uish inamaana uttumie akili na ili utoboe/ufanikiwe utumie akili zaid, hapa ndo utamkumbuka Darwin na theory zake huko Galapagos island.

Hapa ukibug au ukijitia mbish ku obey laws ndo yale ya kusumbuana michango ya kusafrisha maiti au kuzkwa na manispaa,

Naomb radh kama hukufrahshwa na lugha iliyotumika.
 
😀😀Well said i like ur comment Mkuu
 
Dar es Salaam ni mji wa pili kwa utajiri Afrika mashariki baada ya Nairobi, Tanzania na Kenya zinatajirika kwa kasi - JamiiForums
 
Very perfect. watu hawajui kuwa watoo wetu hawataki sifa za kwamba tunaishi Dar, wanataka sifa za uwezo wa Mzazi wao katika kuwahudumia.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…