nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 528
Hata kama unamchongo huishia kwenye kodi ya nyumba, umeme ,maji,chakura, na usafiri,maisha ya dar hayana hakibaHahahaahah dsm kama hauna mchongo rudi mkoani
Hana akili, kuna kitu kinaitwa rasilimaliwatu, hii ukiitumia vizuri inakutoa, ukifikiri vizuri, changamoto inaweza kuwa fursa.Baba yangu Mkubwa Anaish Dar mwaka wa 28 huu ndo msomi zaid na mwenye kipato kikubwa zaid ndan ya familia ila ndo maskn zaid kwenye familia yao.
Sitak kuweka maelezo meng Jitahd hvyo hvyo tu unielewe
Umeelewa ulichoandika?Baba yangu Mkubwa Anaish Dar mwaka wa 28 huu ndo msomi zaid na mwenye kipato kikubwa zaid ndan ya familia ila ndo maskn zaid kwenye familia yao.
Sitak kuweka maelezo meng Jitahd hvyo hvyo tu unielewe
Nimependa ulivyojb simple, kweli wewe umenielewa vzr, Mods mpeni cheo huyu muungwana, jitahd unielewe tena na hapaHana akili, kuna kitu kinaitwa rasilimaliwatu, hii ukiitumia vizuri inakutoa, ukifikiri vizuri, changamoto inaweza kuwa fursa.
Gari zuri lipo arusha wewe,,,dar hakuna magariNinyi nyote kwa kifupi mawazo yenu ni finyu na uwezo wa kutoka ndani ya kundi la wajanja hamuwez, kwa kifupi mnarudi kwenye ule msemo wa kizamani kwamba jogoo wa shamba.....niwaulize mnawaza habari ya eti kodi ya nyumba, chakula maji, kwa hio huko mikoani kuna nyumba za bure? Kama kamji kadogo namna hii mnaona ni kupoteza muda inakuwaje ungetupwa jiji kama NY, Milan ama London ukaambiwa utafute connection mtoboe? Wasema Dar ni kupoteza muda lakini tambua nyumba nzuri kushinda zoote Tanzania iko Dar, viwanja vikal viko Dar, Tajiri namba 1 Tanzania yuko Dar, hata gari ya kifahari nchi nzima inaendeshwa Dar..nyie endeleeni kukusanya matembele huko na kujigamba mnamilik nyumba huko ambayo ukiileta dar itathaminishwa na ilioko tandale
Kwakweli jamaa amenishangaza anavyo generalize..Ninyi nyote kwa kifupi mawazo yenu ni finyu na uwezo wa kutoka ndani ya kundi la wajanja hamuwez, kwa kifupi mnarudi kwenye ule msemo wa kizamani kwamba jogoo wa shamba.....niwaulize mnawaza habari ya eti kodi ya nyumba, chakula maji, kwa hio huko mikoani kuna nyumba za bure? Kama kamji kadogo namna hii mnaona ni kupoteza muda inakuwaje ungetupwa jiji kama NY, Milan ama London ukaambiwa utafute connection mtoboe? Wasema Dar ni kupoteza muda lakini tambua nyumba nzuri kushinda zoote Tanzania iko Dar, viwanja vikal viko Dar, Tajiri namba 1 Tanzania yuko Dar, hata gari ya kifahari nchi nzima inaendeshwa Dar..nyie endeleeni kukusanya matembele huko na kujigamba mnamilik nyumba huko ambayo ukiileta dar itathaminishwa na ilioko tandale
Ninyi nyote kwa kifupi mawazo yenu ni finyu na uwezo wa kutoka ndani ya kundi la wajanja hamuwez, kwa kifupi mnarudi kwenye ule msemo wa kizamani kwamba jogoo wa shamba.....niwaulize mnawaza habari ya eti kodi ya nyumba, chakula maji, kwa hio huko mikoani kuna nyumba za bure? Kama kamji kadogo namna hii mnaona ni kupoteza muda inakuwaje ungetupwa jiji kama NY, Milan ama London ukaambiwa utafute connection mtoboe? Wasema Dar ni kupoteza muda lakini tambua nyumba nzuri kushinda zoote Tanzania iko Dar, viwanja vikal viko Dar, Tajiri namba 1 Tanzania yuko Dar, hata gari ya kifahari nchi nzima inaendeshwa Dar..nyie endeleeni kukusanya matembele huko na kujigamba mnamilik nyumba huko ambayo ukiileta dar itathaminishwa na ilioko tandale
Ww maisha yalikushinda...Nimeishi dar kwa takribani miaka 13,hakuna cha maana nilichokifanya,ila niliporudi mkoani ndani ya mwaka mmoja maisha yalikuwa tofauti kabisa...niliacha kufikiria mawazo ya muda mfupi mfano nitakula nini kesho,kodi itakuaje na mengineyo ya kipuuzi....saiv nawaza itakuaje baada ya mwaka au miaka kumi nitakuwa wapi...hilo dar linaishia kwenye maneno tu,maisha ya dar yanamfanya mtu awe mtumwa,wana wengi wanaogopa kurudi mahome kwao kwa kuhisi watadharaulika,acha fikra potovu rudi ubadiri namna ya kufikiri,huku mambo yanaenda ukitia nia.
kama ungejua kua nakipato kikubwa na kua na hela n vitu viwili tofaut usingeuliza hl swali, na kama ungejua unachoingza hakitosh kukufanya kua hela/tajir bali n muunganiko wa unachoingza na matumiz ndo vitaamua hali yako ya maisha basi tungezungumza lugha moja,Umeelewa ulichoandika?
Huko ni kukalili misemo eti maisha ni popote. Labda kama unataka kuishi tu hapo sawa hata juu ya mti unaweza kuishi lakini kama lengo ni kufanikiwa katika maisha unahitaji kuelewa maeneo ya kukusapoti kufanya hivyo yaani uwe selective tena sana. Maisha ya kiumbe chochote kile na existence yake ni dependable sana katika selection za vitu vingi sana ambavyo ndo vitakavyokuongoza, ukishindwa hili inamaana unazidiwa hata na konokono anayejua wapi ni salama kwake kuishi, lini na kwanini.nyinyi ni waoga wa maisha, maisha popote, kama umeamua kurudisha mpira kwa kipa ni mpango wako kivyako vyako, wengine tumetusua na tunaendelea kutusua hapa hapa bongo daslamu