Kweli ndoo maana wazungu hawazai, au wanazaa kamoja tuu
3. Kisa na mkasa: Kuna kijana alikuwa anajipendelea porn usiku sebuleni ppeke yake wakati wengine wameenda kulala, taa zote kazima. Bahati mbaya dada mtu katoka, naye kajifanya kama anaona filamu ya kanumba. Mambo yalipo kolea walijshangaa wamesha jivua nguo na waemsha ...........
Wazazi kazi mnayo.
yote maisha kaka, usifikiri kuna familia inapenda mambo yawe hivyo.
Umenena dada yangu kila mtu angependa awe kwenye bangaloo kama la Ridhiwan lakini haiwezekani.yote maisha kaka, usifikiri kuna familia inapenda mambo yawe hivyo.
Kweli ndoo maana wazungu hawazai, au wanazaa kamoja tuu
Kweli ndoo maana wazungu hawazai, au wanazaa kamoja tuu
Dada yangu, hawa hawana tofauti na yule aliyesikia wananchi wanalalamikia upungufu wa mikate akasema basi kama mkate hakuna si wale keki!!
umeona eeh? usikute na yeye alitokea katika maisha hayo hayo, si ajabu ana ndugu ambao maisha yao ndio yapo hivyo ila.Umenena dada yangu kila mtu angependa awe kwenye bangaloo kama la Ridhiwan lakini haiwezekani.
umeona eeh? usikute na yeye alitokea katika maisha hayo hayo, si ajabu ana ndugu ambao maisha yao ndio yapo hivyo ila.
ninatofautiana na wachangiaji walionitangulia..............................uzinzi na kubakana wanandugu ni mambo yanayoweza kuepukika...........kwanza tupange kuwa n familia ndogo hata kama khali ya uchumi inakuwa mbaya basi tuweze kujinasua au kupambana naoyo kwa unafuu zaidi........
pili malezi....................wazazi ndiyo nuru ya watoto......................watoto waliowengi hufanya jitihada ya kuiga tabia za wazazi wao maana huamini ndizo zitawapatia maisha bora.........................................mtoto wa nyoka ni nyoka tu....................ni usemi ambao mantiki yake iko wazi.......sioni maisha katika kuangalia porno halafu uamshe hisia na kuishia kujidhalilisha utu wako mbele ya dada au kaka yako baadaye utakapokuwa huru na tamaa hizo utajutia kujichafua mwenyewe na hakuna namna utafuta hiyo aibu...............