Hata angepewa Mzirai asingefanya miujiza Tanesco inahitaji overhaul ya nguvu as jamaa walibweteka mika Kumi bila plan yoyote!
Rev Masanilo said:Tatizo ni CCM haina plan! Kitendo cha kutegemea HEP hadi sasa ni aibu. Tuna uranium kwanini tusizalishe umeme wa uhakika kwa kutumia nuclear reactors ?Viongozi na wanasayansi wetu wanasubiria tupewe msaada! Akili zao zimeshakosa ubunifu,zinawaza wapi tunapata msaada wa kutatua mgao wa umeme,ilhali kuna nyenzo za kutatua tatizo ilo bila msaada!
Tatizo ni CCM haina plan! Kitendo cha kutegemea HEP hadi sasa ni aibu. Tuna uranium kwanini tusizalishe umeme wa uhakika kwa kutumia nuclear reactors ?
Sikia mdogo wangu, tatizo kila kitu bongo kinafanywa kisiasa mambo ya professionalism hakuna. Na hiyo uranium ikifanyiwa mchakato unadhani wakubwa watakula wapi? Matatizo yanawasaidia watu ndio maana hawapendi yaishe. Kenya wenzetu wana plan kuweka kinu cha nyuklia kwa ajili ya power generation itakuwa nchi ya tatu kwa africa kuwa na kinu cha nyukilia nyingine ni egypt na south africa. Wakati Kenya wanaangalia long term plan kusolve tatizo la power sisi tunapandisha gharama za "umeme" jina kwa asilimia 18
WanaJF, Kwa vyovyote vile ni ukweli usiopingika kuwa Tansco inawacheza shere Wadanganyika kwa kuwatangazia hakuna mgao ilhali umeme kila siku unakatwa kwa zaidi ya masaa kumi mpaka kumi na mbili. Hivi sasa ni saa 6 usiku tangu umeme ulivyokatika saa mbili kasoro asubuhi haujarudi na wala hauna dalili kurudi. Kwakuwa humu JF kuna ndugu zetu wanahabari tunaomba mfatilie na ikiwezekana mtubandikie ratiba ya mgao ili tuijue.
haki ya nani vile tuko gizani mpaka muda huu wajameni, huu mgao gani duh!
Tatizo ni CCM haina plan! Kitendo cha kutegemea HEP hadi sasa ni aibu. Tuna uranium kwanini tusizalishe umeme wa uhakika kwa kutumia nuclear reactors ?