Dar fights to save its embassy in Nairobi

Dar fights to save its embassy in Nairobi

Kula wale zanzibar tanganyika tulipe deni la ubwabwa haiwezekani.Huku wakulima wa mbeya morogoro wanalalamika soko la mchele wao.Duuh hii ndiyo bongo.Ubalozi unapigwa mnada shauri ya ubwabwa
 
tunataka taarifa kutoka kwa ubalozi Wa Tz nchini Kenya wameshughulikia vipi .hatua gani walichukua na PCCb suala hili halina harufu ya rushwa.nini kilipelelekea Zanzibar iuziwe mchele kulikuwa na dharura gani
 
Back
Top Bottom