Nimepanda basi la dar express kwenda arusha than nairobi. Kinachonishangaza pamoja na safari ndefu ya basi bado linaendelea kuokota abiria wa njiani mara same,mwanga,moshi n.k MNATUBOA ABIRIA
Nimepanda basi la dar express kwenda arusha than nairobi. Kinachonishangaza pamoja na safari ndefu ya basi bado linaendelea kuokota abiria wa njiani mara same,mwanga,moshi n.k MNATUBOA ABIRIA
naona unamsakama bure bila ku-read between the line na unanifanya nihisi una hisa na kampuni hiyo, Dar Express ina basi za Arusha na Nairobi na yeye ameongelea za Nairobi ilihali unaongelea za Arusha...........Dar Nairobi zinaeleweka kabisa kwamba haziokoti na ni ajabu abiria wa same asubiri Dar Express ya Nairobi huku ana alternatuve nyingi sana na ni kujichelewesha tu......tusifunike kombe kumpisha mwanaharamu...........na ukweli kabisa Dar Express ya leo siyo ile, ukishaona inaokota ujue inaelekea kutokotaAcha ujinga ndugu, yaani hukutaka kuisumbua akili yako kuwaza hata kidogo. sasw hao wa same hawastahili kwenda nairobi? wapandie wapi au waje mpaka ubungo ? mbona hulalamikii waliposimama mombo au same kukupa chakula? isitoshe kama watu wa same wakizuia hilo gari kupita same utafikaje arusha? kumbuka na wale wanaoshuka same itakuwaje kama wasiposimama au unajua makazi ya watu ni arusha na nairobi tu? fikiri zaid ya uonavyo mkuu
naona unamsakama bure bila ku-read between the line na unanifanya nihisi una hisa na kampuni hiyo, Dar Express ina basi za Arusha na Nairobi na yeye ameongelea za Nairobi ilihali unaongelea za Arusha...........Dar Nairobi zinaeleweka kabisa kwamba haziokoti na ni ajabu abiria wa same asubiri Dar Express ya Nairobi huku ana alternatuve nyingi sana na ni kujichelewesha tu......tusifunike kombe kumpisha mwanaharamu...........na ukweli kabisa Dar Express ya leo siyo ile, ukishaona inaokota ujue inaelekea kutokota
Nimepanda basi la dar express kwenda arusha than nairobi. Kinachonishangaza pamoja na safari ndefu ya basi bado linaendelea kuokota abiria wa njiani mara same,mwanga,moshi n.k MNATUBOA ABIRIA
Hata hotel yao ya Highway ishachuja siku hizi!