Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,267
siongelei ubinafsi naongelea kuji-organise..........call a spade a spade ...Hii siyo Dar Express ile
Acha ubinafsi abiria anayetokea sama kwenda nairobi hatakiwi kupakia Dar Express. Jiweke katika nafasi ya huyo abiria anayetokea same kwenda Nairobi then uone kama hiyo gari ikipita utaihitaji ama la!!!
Hiyo gari ya kwenda Nairobi ni public au ni private. Kama ni private kila mtu ana haki ya kulalamika ila kama ni public hao abiria Wa same wana haki ya kupakia pia. Tatizo wengi wa watu ni wabinafsi sana.