DAR ES SALAAM

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
Dar es salaam stand Up......daaah CHID BENZI hii ngoma Aliitendea haki

Kama unaikubali weka maneno...na kama ujaisikia kaisikilize utagundua kitu.
 
Chid Benz kipindi kile akiwa na La Familia walikuwa moto sana, ila alipoanza kula kuber hata sauti yake ikawa chafu.
 
Jana nmekutana naye magomeni amevaa earphone kama nne kichwani yaani kavingirisha kichwa chote afu nywele kaeka bleach anafoka tu kama ana Rap kwenye simu
 
Alikuwa moto sana enzi hizo, sahivi sauti ime kauka yani daa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…