Sasa si ndio nimesema, hiyo sio jambo la kawaida kutokuwa na maji kwenye mitaa za jiji la Nairobi. Wewe unaishi Nairobi, unapajua kuniliko?Acha uongo nilikuwa nairobi juzi south C hakuna maji, na kama kutoka wanasema yanatoka usiku sana around saa nane au tisa usiku basiii
in short wanatuona watanzania kama wakarimu sana. pia wanawasifia sana wanawake wetu kwa maumbile na uzuri.also wanawapenda sana wasanii wa tz kama diamond,alikiba ommy dimpoz etc pengine kuliko sisi tunavyowapenda wasanii wao. wana appreciate sana amani yetu.then Magufuli ni maarufu sana kule.wanamfuatilia sana.lakini wao hujiona wako juu kielimu.Wanamchukuliaje mtanzania kule kwao intem of lifestile, na Tabia kwa ujumla
kielimu nairobi na kenya wako juu kwakweli.kwa sasa kule masters ndo mpango mzima.watu hawatosheki na degree.wanaosoma masters ni wengi sanaa.pia shule ziko advanced sana wana wanafunzi vichwa kweli.wengi wanaotoka kule kuja bongo wanasumbua sana. capitalists wameinvest sana kk elimu na wamemordenise shule zao ziko kama za mbele.wanafunzi wengi wako bright na wanajifunza kwa vitendo zaidivipi kuhusu elimu?
kwakweli siwezi kujua exact figures japo kutokana na sensa najua population ya dsm inacheza kwenye watu milioni 4.5 kwa sasa.nairobi wao ni kwenye 3 milions.lakini pia kwa ukubwa wa jiji naona dsm ni kubwa zaidi kieneo ukilinganisha na nairobi.msongamano wa watu katika eneo la mraba(population density) hazijatofautiana sana katka majiji haya mawiliTupe taarifa ya population kwa kila jiji..
daaaah kkuna ofauti kubwa sanaaaaaaa.in all aspects.labda wamefanana vitu kama hali ya hewa.kwanza nairobi is high built meaning kwamba ina majengo marefu na mazuri pia,kule wau ni wengi kuliko arusha,miundombinu kama barabara ni bora sana kwa upande wa nairobi kwani kuna hadi flyovers,barabara pana na nzuri,arusha amani ni nzuri ukilinganisha na nairobi.arusha hakuna sana uhalifu kama ilivyo nairobi,arusha ni nzuri pia sema tu ishu ni udogo ukilinganisha na nairobiTofauti ya Nairobi na Arusha ni ipi?!
daaah kweli vipengele vingi sana sijagusia labda niandae makala part 2.kwakweli kwenye ishu ya muziki ebana dsm au tz ipo juu.kwanza varieties ni nyingi sana kama hip hop ya arusha na ya tz,bongo fleva,taarabu,mchiriku,singeli,dansi za kina twanga pepeta,dansi za kina msondo.hata wasanii wa bongo wanapendwa sana kule.How about music umesahaua kucompare apo?
yaaaah kweli kabisa.hizo bodi wanachonga hapo hapo kwa naiiUmesahau kitu hizo daladala za Kenya mabody yake hutengenezwa kenya hapo hapoView attachment 377897
usijali tupo kwaajili ya kuelimishana. kwakweli mimi binafsi nimeishi nao jamaa vizuri sana hata baada ya kunifahamu kuwa ni mtz.hakuna sehemu nilibaguliwa eti coz sio mkenya. sema labda kwa stori za kitaa ni kwamba ukikaa kaa hovyo town kuna wahuni lazma wakulize tena kibabe sio kukutapeli bt kukuibia laivu.hiyo case ipo hata dar ukiwa mgeni ukakaa kifala wanakuliza.lakini huko nilipoishi there was full of peace and loveMimi ntakuuliza swali tu moja mkuu, kuna baadhi ya watu hapa wana kasumba kuwa wakenya hawapendi watanzania, nataka kukuuliza, ulipojitambulisha kama mTz watu walikuchukulia vipi? walikuonyesha upendo ama chuki? Pole kwa kutoka nje ya mada.
usijali tupo kwaajili ya kuelimishana. kwakweli mimi binafsi nimeishi nao jamaa vizuri sana hata baada ya kunifahamu kuwa ni mtz.hakuna sehemu nilibaguliwa eti coz sio mkenya. sema labda kwa stori za kitaa ni kwamba ukikaa kaa hovyo town kuna wahuni lazma wakulize tena kibabe sio kukutapeli bt kukuibia laivu.hiyo case ipo hata dar ukiwa mgeni ukakaa kifala wanakuliza.lakini huko nilipoishi there was full of peace and love
thank you Smatta. i had to tell the truth coz the truth will always set us freeAhsante kwa kuweka vitu wazi, ningependa waTz wajue kuwa wakenya hawana ishu kabisa nao, na kama wana biashara ama kazi ama wanataka tu kutembea, wana karibishwa sana. it's all love. shukran mtoa mada for your neutral approach.
ngoja niulize from friends nitakujuzaVyuo vinavyotoa kozi ya udaktari Kenya ada ni shillingi ngapi kwa fedha za Kenya, mf nairobi university na vinginevyo
hahahaaa ndio maana nkasema kufikiria hakuhitaji kutokwa na mapovu mkuu.povu la nini? unatokwa na mishipaaa.usicrem elewa mjingamimikujipendekeza huku.yaani majiji yote duniani umeona dar tu nairobi ndo uyapambanishe?mbona ujafananisha nairobi na new york?acha umburura,tunajua lengo,haina haja ya kulinganisha piga kimya,kila mtu akae na maisha yake,