KALYOVATIPI JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 1,414 Reaction score 199 May 26, 2012 #21 kirumonjeta said: Kesho ni funga kazi wenye pressure za kushuka(mafisadi) kaeni mbali Click to expand... na wale wenye presha za matumbo wakae karibu na vyoo wasije wakaharibu kwenye ma vieks kwa ajili itakuwa kama ule uwanja wa kule kwa falaos sina imani kama jangwani panatutosha labda wengine tupelekwe viwanja vya magogoni
kirumonjeta said: Kesho ni funga kazi wenye pressure za kushuka(mafisadi) kaeni mbali Click to expand... na wale wenye presha za matumbo wakae karibu na vyoo wasije wakaharibu kwenye ma vieks kwa ajili itakuwa kama ule uwanja wa kule kwa falaos sina imani kama jangwani panatutosha labda wengine tupelekwe viwanja vya magogoni