Dar Es Salaam: Moto mkubwa wawaka maeneo ya Keko usiku huu

Dar Es Salaam: Moto mkubwa wawaka maeneo ya Keko usiku huu

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Moto mkubwa umewaka maeneo ya Keko muda huu na tayari umeleta taharuki kwa wakazi wa eneo hilo.

Vikosi vya zimamoto bado havijaonekana hadi sasa ili kufanya jitihada za kuudhibiti.

Chanzo cha moto bado hakijajulikana


 
Pole kwa waathirika, kuanzia wenye ofisi, mali na wakazi wa eneo hilo.

jaribuni kuzima kwa nyenzo zilizopo, maana hao zimamoto mpaka wafike patakuwa pameisha.
 
Dah! Napo pameshauzwa... Next stop ni vingunguti au Goms
 
Back
Top Bottom