Freddy.Freddy
Senior Member
- May 29, 2015
- 105
- 44
Shika adabu yako,umbali wa tanga mombasa kwa nauli ni tsh 15000tsh inaeza kuimagine distance yake na wala sio pua na mdomo kama mnavyopeana kamba vijiweni kwenuDaah Kiswahili umejifunzia wapi?
Mbona hizi Baikoko dance zipo hata Mombasa.
Ngoja MK254 akukute hapa.. Utamkoma
Hehehe!! nafikiri wengi huwa hamnielewi kabisa, binafsi kila nikija Dar huwa nakula bata full. Huo mji kwa raha zake kweli upo freshi, nenda sehemu kadhaa za burudani uwaulize, wengi walinifahamu kama rais wa Nairobi. japo hizo raha bila kuwa makini Wakenya wengi huwa tunaharibu pesa sana huko na kushindwa kujiendeleza, binafsi kuna kipindi niliachia milioni tatu kwa siku nne zikaniuma.
Mkuu umetisha!Hehehe!! nafikiri wengi huwa hamnielewi kabisa, binafsi kila nikija Dar huwa nakula bata full. Huo mji kwa raha zake kweli upo freshi, nenda sehemu kadhaa za burudani uwaulize, wengi walinifahamu kama rais wa Nairobi. japo hizo raha bila kuwa makini Wakenya wengi huwa tunaharibu pesa sana huko na kushindwa kujiendeleza, binafsi kuna kipindi niliachia milioni tatu kwa siku nne zikaniuma.
Nashangaa mtu anahama Dar kwenda mikoani kufanya kazi.
Wewe sasa unataka kuanzisha vita...
Nashangaa mtu anahama Dar kwenda mikoani kufanya kazi.
Wewe sasa unataka kuanzisha vita...
Dsm hovyo tu, mkoa gani joto kali mtu nyomi balaa. Kila mahali kumejaa. Wengine hupenda maeneo kimya, good weather.