Dar es Salaam jiji chafu duniani

Dar es Salaam jiji chafu duniani

shemea

New Member
Joined
Feb 20, 2009
Posts
2
Reaction score
0
Leo katika kipindi cha tuongee siasa na uchumi cha star TV, mchangia hoja mmoja alisema kuwa jiji la Dar es salaam, Tanzania ni la nane kwa uchafu duniani. Je, wadau hii ni kweli? Na kama ni kweli nini kifanyike ili kuondoa sifa hii mbaya ya kuwa jiji la 8 kwa uchafu duniani?
 
Inawezekana ngoja tufanye utafiti...
 
Tusafishe kwanza akili zetu ndipo tutakapo weza kusafisha mazingira yetu pia.
 
Back
Top Bottom