Dar es Salaam jiji chafu duniani

shemea

New Member
Feb 20, 2009
2
0
Leo katika kipindi cha tuongee siasa na uchumi cha star TV, mchangia hoja mmoja alisema kuwa jiji la Dar es salaam, Tanzania ni la nane kwa uchafu duniani. Je, wadau hii ni kweli? Na kama ni kweli nini kifanyike ili kuondoa sifa hii mbaya ya kuwa jiji la 8 kwa uchafu duniani?
 
Inawezekana ngoja tufanye utafiti...
 
Back
Top Bottom