innocente kadono
Member
- Feb 15, 2015
- 12
- 4
nasikia dit ni wako vizuri kwenye electrical engineering, kuna ukweli kuhusu hilo. Mi pia nimechaguliwa hapo elect engWale ndugu wote mliochaguliwa DIT kwa fani mbalimbali za shahada ya kwanza mwaka 2015/2016 karibuni tufahamiane hapa.

nasikia dit ni wako vizuri kwenye electrical engineering, kuna ukweli kuhusu hilo. Mi pia nimechaguliwa hapo elect eng
Tujuzane pia kuhusu hosteli za hapo dit
Computer Engineering
nasikia dit ni wako vizuri kwenye electrical engineering, kuna ukweli kuhusu hilo. Mi pia nimechachaguliwa h
Ucnionee huruma brother..Nakuonea huruma tu maana daah
Walimu wazinguaji,modules kibao kwa semester,Theory kibao kuliko practicals Kikubwa na kibaya zaidi unaweza ukagraduate hujui chochote!!Kwenye suala la ajira ndio sitaki kuzungumza kabisa.
Ucnionee huruma brother..
Naipenda DIT naipenda COM ENG...nlipotoka nmesoma masomo 10 kwa semister cdhan kama yatazidi hayo na nna background nzur ya programming and electronics...ctegemei sana walimu kama wanatoa notes inatosha...ntakukarbisha nkimaliza uje kuona chet chenye First Class GPA na makampuni makubwa yakinigombania...
Vipi kuhusu swala la hostel hapo DIT?
Hostel kwa undergraduate zipo chang'ombe.
gharama ziko vpi na kuna uwezekano wa first year wote kupata?
Vipi kuhusu swala la hostel hapo DIT?
Chuo pekee chenye hostel kama shule za bweni
Chuo pekee chenye hostel kama shule za bweni
Nmechaguliwa Mechanical Eng Nna Mpango Nkifka Nihame 2 Electrcl Eng Inawezekana Na Je Ipo Poa ?