Menyu Nix
Member
- Jul 9, 2022
- 33
- 10
Big upppp sana!!! thanks!B
Believe me bro.. diploma ndio watu wanaoajirika kwa sasa iv kuliko hao wa degree..
Mimi nimesoma diploma na degree zote za electrical nakwambia hiki kitu ni real.. sema kwenye kozi apo badilisha uchukue electrical au civil au mechanical.. izo zingine hazina wigo mpana.. fanya ivo bro utakuja kunishkuru tena ondoa hayo mawazo ya kukata tamaa