Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,075
Nyie waislam weusi mnawaabudu waarabu sana wakati nyie mkienda kwao kua mabeki 3 wanawatupa magorofani....Lingekua Washington usinge sema libadirishwe kinacho kusumbua hapo ni roho mbaya ya ugalatia unashindwa kuangalia nini maana ya jina la dar es laaam sema sasa na ikulu ivunjwe kwa sababu imejengwa na waarabu
Liitwe ziwa Yohana PombeZiwa Victoria nalo libadilishwe jina,haiwezekeni ziwa liko kwa wabantu alafu linapewa jina la malikia wa zamani wa mkoloni wetu uingereza.liitwe ziwa Nyanza
Una point ya msingi sema umechapia...Salisbury- Harare
Rhodesia- Zimbabwe
IvoryCoast- Ougadugu
Cape Verde- Burkina Faso
Congo- Zaire
Lawrence Marquess- Maputo
Ugalatia uko wapi hapo wewe Mamumaa?
MZIZIMAHabari wakuu. Hili jina ni la jiji kubwa kuliko yote nchini chakushangaza ni la kiarabu wakati nchi ni ya kiafrika tena wabantu.
Kwakweli ili kulinda utambulisho wetu napendekeza jina libadirishwe liwe la kibantu kama mikoa mingine tena la kizaramo kabisa.
Haiingiii akilini kuwa na jina la kiarabu kwa mji wetu huu wa kibiashara.
kumradhi naomba kufahamu mfano wa maneno ya kiarabu kwenye sayansiHiyo pia ni kiarabu,tena hapo ndio kiarabu kinachoitwa classic Arabic.Uarabu huwezi kuuondoa dunia,mpaka maneno mengi ya kisayansi ni ya kiarabu.
Darul-salaam( jiji la amani, au jiji salama) ndo maana yake.Labda utueleze why kuna es badala ya el?? Why tupate mikanganyiko isiyo ya lazma
kama upiNdugu yangu sio vizuri kuingiza udini kwenye hii mada. By the way wakati wa utawala wa wajerumani baadhi ya mikoa ilikua ina majina ya kijerumani ila baadae ilikuja kubadirishwa
Jina la dar-es-salaam ni la kiarabu, ila tatizo lilikuja kwenye kusikia na utamkaji wetu sisi waswahili, badala ya kutamka darul-salaam( jiji salama) sisi tukakosea na kutamka dareslam.Hii Dar es Salaam imetokea wap sasa?
Nyani haangalii ****** wakeHuyu mtoa mada anachuki kashindwa tu kufunguka