Dar Es Salaam 1983, archive footage

Nimejifunza mambo manne:
Wanaume walikuwa wanatembea kikakamavu
Wamama na wababa walivaa nguo zenye staha
Unyoaji vipara haukuwepo
Watu walikuwa wachache kwenye hiyo mitaa ambayo sasa ni ni the busiest in the country
 
Back
Top Bottom