Huyu jamaa stori yake ipo kwenye Bible na alitumbukizwa kwenye shimo la simba kutokana na kukiuka amri ya mfalme aliyekataza watu kusali baada ya kushinikizwa na vijana wake waliokuwa wakikasirishwa na tabia ya danieli aliyekuwa akiomba mara tatu kwa siku lakini kutokana na ukuu wa mungu alimuokoa kutoka mikononi mwa simba waliokuwa na njaa kali baada ya kutupwa kwenye shimo la simba akipokiuka sheria ya mfalme aliyekataza mtu yeyoye kuomba.