Sijui kama ni jukwaa sahihi au lah!
Kwa wale wapenzi wa tamthilia ya Daniela ya chanel ten shost anaomba kujua jana imeendeleaje kwa summary, huu mgao wa umeme hauwak cku ya pili leo.
Mkuu marudio yanakuwepo kila jumapili saa nne asubuhi. Lakini Startimes wamemaliza series zote katika STVE 1.Nahisi kama STV 1NARUDIWA. Jaribu kupata king'amuzi cha Startimes.
Sijui kama ni jukwaa sahihi au lah!Kwa wale wapenzi wa tamthilia ya Daniela ya chanel ten shost anaomba kujua jana imeendeleaje kwa summary, huu mgao wa umeme hauwak cku ya pili leo.