Daniel Welbeck na Shaka wapeleka kilio Old Traford.

Bernard bakari

JF-Expert Member
Mar 30, 2016
407
781
Club ya Arsenal imefanikiwa kuichakaza mashetani wekundi manchester united kwa jumla ya magoli mawili kwa bila katika uwanja wa Emirate na kufanya mbio za kuwania Top Four katika premium league kuwa ngoma mbichi.

Kwa ushindi huo wa Arsena mwelekeo wa ligi unaonesha timu nne yaan liverpool, arsenal, Man city na Man United timu yeyote inaweza kuingia top 4 kuungana chelsea pamoja na toternham. VIVA ARSENAL POLE MAN UNITED
 
IMG_20170507_201204.jpg
 
Back
Top Bottom