Mathematician
JF-Expert Member
- Nov 8, 2009
- 327
- 111
wanataka kuwaibia tu hao hamna kazi za Dangote wala nini.hii movie naifatilia kwa karibu sana... there is something fishy kwenye hii kitu!!!!
wanataka kuwaibia tu hao hamna kazi za Dangote wala nini.hii movie naifatilia kwa karibu sana... there is something fishy kwenye hii kitu!!!!
Mimi ni mmoja wa watanzania mliotuita kwenye interview ya tarehe 21 sasa mbona mnazingua tena eti mmebadilisha halafu hamjasema itakuwa lini
eti mpaka mtakapo tutaarifu tena mnatupa hofu sana bana.
mi ninahofu nafasi yangu isije ikachakachuliwa ila nazidi kuomba Mungu tu (ewe mwenyezi MUNGU mjaalie mja wako huyu alieandika makala hii apate kazi yake nzuri tu Dangote).
Semeni wazi utakuwa lini tena tuondoeeni hofu bana maisha yanatutesa