Aliko Dangote
ndo binadam sisi tulivyoKwa hiyo umefurahi mwenyewe, kwa maana ulivyoiandika kiushabiki, Wabogo bhana sisi ni binadamu wa ajabu sana, Dangote hata akiwa ni wa 1000 Duniani lkn bado ni Bilionea (US$), unajua maana ya kuwa utajiri wa thamani ya Billlion US Dollars wewe?
Siyo mm ni mwananchi,,,,,!Kwa hiyo umefurahi mwenyewe, kwa maana ulivyoiandika kiushabiki, Wabongo bhana sisi ni binadamu wa ajabu sana, Dangote hata akiwa ni wa 1000 Duniani lkn bado ni Bilionea (US$), unajua maana ya kuwa utajiri wa thamani ya Billlion US Dollars wewe?
Ni baada ya kuagiza malori nn,,,,?
Asante mkuu, tuendelee kumombea,,,,,!Ni kweli Dangote ameshuka na yuko nje ya namba 100 ya watu matajiri duniani.Mwezi wa sita mwaka 2016 alishuka mpaka namba 71 toka 46 na hii imetokana na kushuka kwa thamani ya fedha ya nigeria (NAIRA) kutoka NAIRA 190-200 mpaka NAIRA 300 kwa dollar moja ya marekani.Pia uwekezaji wake mkubwa uko nigeria hasa kwenye kiwanda chake kikubwa cha sukari ambacho ni cha pili kwa ukubwa duniani ambapo upanuzi ukikamilika kitakuwa kinatoa tani milioni 1.4 kwa mwaka kutoka laki 6 kwa sasa.Pia kingine kilicho chochea tofauti na matajiri wenzake hata kama bado dunia kwa sasa kuna mdororo wa uchumi yeye bado anaendelea kuwekeza kwa nguvu sana hata kwenye sekta ya mafuta pia kwani anakiwanda kikubwa kinaendelea kujegwa cha kusafisha mafuta nigeria.Kwa miaka michache ijayo Dangote atarudi kwa kasi na kushika namba za juu kwa utajiri duniani ila bado ni tajiri namba moja AFRICA.
MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFRICA
PATRICE LUMUMBA
Wewe ni wa ngapi?