Cantalisia JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 5,221 Reaction score 2,930 May 8, 2012 #21 Haki ya nani mie niko ICU ya jf na ctaki kutibiwa wala kupona huu ugonjwa!bila kuingia humu najihic nimetenda dhambi kubwa na hujisalimisha humu kupata raha ya maisha,polen wagonjwa wa fb!
Haki ya nani mie niko ICU ya jf na ctaki kutibiwa wala kupona huu ugonjwa!bila kuingia humu najihic nimetenda dhambi kubwa na hujisalimisha humu kupata raha ya maisha,polen wagonjwa wa fb!