Danfoss drive vlt fc 301

Joined
May 20, 2015
Posts
74
Reaction score
44
Habari wakuu,
Nina Danfoss vlt Fc 301.
Keenye parameter za minmum na maximum speed references 3-02 na 3-03 ipo katika unit ya RPM.
Nataka kubadili unit iwe katika HZ(Frequence) ambayo ndio default unit.
Parameter ya kubadili UNIT ni 3-0-1 Lakini hainipi option zingine kama ilivyokuwa zamani.
Ninaomba msaada.
Software ninayotumia ni MCT 10.
Pia nina Graphical local control panel.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…