Na ungekuwa mwislamu ungekuwa shehe ubwabwa ukiona turubai mtaani unajua Leo kuna shughuli unajikita ndani kumbe mafundi Wa dawasco wameweka turubai wazibue choo tukija mtaani kwako kuuliza shehe pasco anakaa nyumba ipi unakuta watoto wanajibu shehe shehena ameenda kwenye shughuli basi ujue wewe una shida kubwa kuliko wale waliosomewa Surat zubaa maishaniMimi ni mtu wa mastory.
P
Swali lako zuri sana, ngoja nikupatie mifano, mauaji ya mitaani Marekani huja kulipwa tena mitaani.kulipa kisiasasiasa ndio vipi mkuu
Tatizo lako nini hasa?
Roho ya mauti unayo. Na wote mliowadhulumu uhai wao Mungu atawalipia hapa hapa tukiona.Tundu lisu kapigwa risasi na chadema, na alishiriki kwenye hiyo plot, walipanga wafyatue risasi gari lake halafu waisingizie Serikali yetu, mpango ukaback fire mahesabu yakakataa Tundu lisu akawemo, na ndo maana wamemficha dereva kwani anajua mchezo wote.
Kwa kifupi tundu ni ukoo wa Cain, laana inamuandama, na bado!
Haya endeleeni mkanipige ban, lkn UKWELI ndo huo, na utajulikana kwani mmeshaanza kufarakana mmoja wenu ataropoka tu!
Atakapopumnzishwa na Mungu atatoa na hesabu zake za visasi na mauaji.JPM yupo na ataendelea kuwepo mpaka pale Mwenyezi Mungu atakapoamua kumpumzisha
Sasa tunaomba list ya nchi ambazo hazina roho ya mauti( ambazo hazijamwaga damu). Ili tusikusumbue sana mzee baba, lete tano tu itatosha. Shukrani kwa neno lakini.Kaini alimuua nduguye Abel kisha Mungu akamuuliza, "Kaini nduyo yupo wapi ?"
Kaini akamjibu Mungu kwa jeuri kwamba yeye hakupewa kazi ya kumlimda nduguye.
Mungu akamjibu Kaini, "Damu ya nduguyo inanililia mimi ".
Baada ya hapo, Mungu alimlaani Kaini.
Usiombe kulaaniwa na Mungu, ujue umekwisha kabisa.
Fanya yote ktk maisha yako lakini usije kumwaga damu ya mtu asiye na hatia,(kuua).
Kazi ya kutoa roho ya mtu asiye na hatia ni ya Mungu mwenyewe.
Hivi Kumkosoa mtu ambaye hataki kukosolewa, adhabu ya mkosoaji ni kifo?
Ni kwa nini Kama mtu anakukera usimweke selo tu hata miaka minne kuliko kutoa uhai wake?
Hivi Tundu Lissu kukosoa tu ndo alistahili kifo?
Mawazo kuwa mpinzani tu naye alistahili kifo?
Ben Saanane kusema tu Elimu ya mfalme ina walakini naye alistahili kifo?
Kanguye kuwa mpinzani tu naye alistahili kifo?
Azori Gwanda kuwa mwandishi msema kweli naye alistahili kifo?
Hivi mnajua kwamba kuna mataifa yenye roho za mauti? Na aina ya mataifa hayo huwa hayaendelei hata siku moja.
Roho za mauti huwa zinakuja Kama kisasi baada ya Damu za watu wasio na hatia kumwagwa.
Nitawatajia baadhi ya nchi zenye Roho za mauti, na Roho hizo huwa hazitoki hadi taifa lifanye ibaada maalumu za toba ikiambatana na kutoa sadaka mbele ya Mungu ndo Roho za mauti hutoweka.
Baadhi ya mataifa yenye Roho za mauti Duniani.
1.Iraq
2.Libya
3.Syria
4.Congo
5.Sudan (zote)
6.Burundi
7.Yemen
8.South Africa
9.Rwanda
10.Marekani
11.Uganda
12.Iran
13.Kenya
14.Mozambique
15.Tanzania
Hizo ni baadhi ya nchi Duniani, Kila Damu inayomwagwa bila hatia hulia kwa Mungu ikidai kisasi, Kila kisasi huja kulipwa kwa Staili yake.
Mambo ya kuandika ni mengi mno na muda ni mchache.
Damu iliyomwagwa kwa sababu za kisiasa hulipwa kisiasa siasa, na Damu iliyomwagwa mitaani hulipwa kimtaa mtaa.
Tutaonana Kwenye Part -5 ya TISS Bado safari ngumu
Roho ya mauti unayo. Na wote mliowadhulumu uhai wao Mungu atawalipia hapa hapa tukiona.
Mbona hamuwakamati Chadema na kuwashtaki kwa kosa hilo?
Hakuna asiyejua namna ambayo mnawauwa waliohusika na mpango huo kuwalinda walioaguza uhalifu huu ili kupoteza ushahidi.
Mabaya yameshatendeka sijui tunayaepushaje?Tuepuke kuwaza mabaya, kusema mabaya, kutenda mabaya.
P
Kaisadie dola yako akamatwe aletwe ashitakiwe. Ni kwamba serikali baada ya kukumbatia uovvu haina ubavu wa kufanya cho chote. Subirini laana ya Mungu. Natamani iwe kama ya Samuel Doe.Mimi sina uwezo wa kukamata yoyote, ila kama nigekuwa nao sasa hivi hata huyo Dereva mliyemficha angesharudishwa hapa nyumbani kwa nguvu kama siyo hiyari.
Kaisadie dola yako akamatwe aletwe ashitakiwe. Ni kwamba serikali baada ya kukumbatia uovvu haina ubavu wa kufanya cho chote. Subirini laana ya Mungu. Natamani iwe kama ya Samuel Doe.
Uko sahihiKaini alimuua nduguye Abel kisha Mungu akamuuliza, "Kaini nduyo yupo wapi ?"
Kaini akamjibu Mungu kwa jeuri kwamba yeye hakupewa kazi ya kumlimda nduguye.
Mungu akamjibu Kaini, "Damu ya nduguyo inanililia mimi ".
Baada ya hapo, Mungu alimlaani Kaini.
Usiombe kulaaniwa na Mungu, ujue umekwisha kabisa.
Fanya yote ktk maisha yako lakini usije kumwaga damu ya mtu asiye na hatia,(kuua).
Kazi ya kutoa roho ya mtu asiye na hatia ni ya Mungu mwenyewe.
Hivi Kumkosoa mtu ambaye hataki kukosolewa, adhabu ya mkosoaji ni kifo?
Ni kwa nini Kama mtu anakukera usimweke selo tu hata miaka minne kuliko kutoa uhai wake?
Hivi Tundu Lissu kukosoa tu ndo alistahili kifo?
Mawazo kuwa mpinzani tu naye alistahili kifo?
Ben Saanane kusema tu Elimu ya mfalme ina walakini naye alistahili kifo?
Kanguye kuwa mpinzani tu naye alistahili kifo?
Azori Gwanda kuwa mwandishi msema kweli naye alistahili kifo?
Hivi mnajua kwamba kuna mataifa yenye roho za mauti? Na aina ya mataifa hayo huwa hayaendelei hata siku moja.
Roho za mauti huwa zinakuja Kama kisasi baada ya Damu za watu wasio na hatia kumwagwa.
Nitawatajia baadhi ya nchi zenye Roho za mauti, na Roho hizo huwa hazitoki hadi taifa lifanye ibaada maalumu za toba ikiambatana na kutoa sadaka mbele ya Mungu ndo Roho za mauti hutoweka.
Baadhi ya mataifa yenye Roho za mauti Duniani.
1.Iraq
2.Libya
3.Syria
4.Congo
5.Sudan (zote)
6.Burundi
7.Yemen
8.South Africa
9.Rwanda
10.Marekani
11.Uganda
12.Iran
13.Kenya
14.Mozambique
15.Tanzania
Hizo ni baadhi ya nchi Duniani, Kila Damu inayomwagwa bila hatia hulia kwa Mungu ikidai kisasi, Kila kisasi huja kulipwa kwa Staili yake.
Mambo ya kuandika ni mengi mno na muda ni mchache.
Damu iliyomwagwa kwa sababu za kisiasa hulipwa kisiasa siasa, na Damu iliyomwagwa mitaani hulipwa kimtaa mtaa.
Tutaonana Kwenye Part -5 ya TISS Bado safari ngumu
Watetezi wake wanadai eti flyovers, Sgr, Stieglers ni mbadala wa dmokrasia, haki, upendo, na umoja,Magufuli Kajitahidi Sana Kuitawala Hii Nchi Kidicteta Lakini Hatonyamazisha Sauti Ya Wengi Ambao Hatukubaliani Na Utawala Wa Mabavu Hapana Sitokubali Nafsi Inanisuta Kusaliti Haki, Uhuru Na Upendo Tulionao Watanzania"
Tulia kwa mumeo uzae watoto acha kurukia mambo ya wanaumeKwani na Wewe tatizo lako ni nini hasa?
Hivi kweli Tundu Lissu na CHADEMA wanauwezo wa kwenda maeneo ya nayolindwa zaidi Tanzania Area D ambapo mawaziri, makatibu viongozi wa bunge ambapo wametokea chama cha CCM wanaishi Ili atengeneze propaganda ya kuitoa na kuichafua CCM ya kutaka kumuua TL???Tundu lisu kapigwa risasi na chadema, na alishiriki kwenye hiyo plot, walipanga wafyatue risasi gari lake halafu waisingizie Serikali yetu, mpango ukaback fire mahesabu yakakataa Tundu lisu akawemo, na ndo maana wamemficha dereva kwani anajua mchezo wote.
Kwa kifupi tundu ni ukoo wa Cain, laana inamuandama, na bado!
Haya endeleeni mkanipige ban, lkn UKWELI ndo huo, na utajulikana kwani mmeshaanza kufarakana mmoja wenu ataropoka tu!
Hivi kweli Tundu Lissu na CHADEMA wanauwezo wa kwenda maeneo ya nayolindwa zaidi Tanzania Area D ambapo mawaziri, makatibu viongozi wa bunge ambapo wametokea chama cha CCM wanaishi Ili atengeneze propaganda ya kuitoa na kuichafua CCM ya kutaka kumuua TL???
Ni mtu gani aliye madarakani anaweza kukubali jambo kma hilo litokee???
Hivi kama CHADEMA ilihusika kumuua Tundu Lissu kwa nini POLISI wangekuwa nyuma kuchelewesha ushahidi ili waiangamize CHADEMA kwa kuua wanachama wake?
Hapo hatujaweka kauli ya Mtukufu Raisi na Msemaji Mkuu wa Bunge Tukufu kumuhusu TL hv karibuni.
Mzee hili ni jambo ambalo liko wazi kabisa waliohusika kumuua Tundu Lissu ni mtu ambae yupo kwenye Mifumo ya Uongozi tena hasa hasa Usalama. Hii inaonekana kwa Ushahidi wa Kimazingira "Circumstantial Evidence"
Roho Ya Mwanadamu Ina Windwa.
Hide My ID.
Kwa maelezo haya Chadema wameshirikiana na Serikali kujaribu kumuua TAL!Tundu lisu kapigwa risasi na chadema, na alishiriki kwenye hiyo plot, walipanga wafyatue risasi gari lake halafu waisingizie Serikali yetu, mpango ukaback fire mahesabu yakakataa Tundu lisu akawemo, na ndo maana wamemficha dereva kwani anajua mchezo wote.
Kwa kifupi tundu ni ukoo wa Cain, laana inamuandama, na bado!
Haya endeleeni mkanipige ban, lkn UKWELI ndo huo, na utajulikana kwani mmeshaanza kufarakana mmoja wenu ataropoka tu!
Kwa maelezo haya Chadema wameshirikiana na Serikali kujaribu kumuua TAL!
Kama Serikali inajua Chadema ndio wamehusika kwa nink sasa wasitoe huo ushahidi wa uhusika wao?