Damu zao zinadai kisasi

Kila muuaji ni mtoto wa shetani, hivyo huyu bwana sio chaguo laungu bali la shetani
 
Umesahau,na Akwilina walimpiga risasi!
Shetani wa kike wewe
 
Kuna kitu inaitwa "circumstantial evidence". Wewe kwa akili yako yote, itakuchukua umri wako wote kuelewa hiki kitu!! Bora ukanyamaza, uwaaxhie wenye akili huu uzi. Huna uwezo wowote wa kumtetea mtu!!
 
Anayetakiwa kusema circumstantial evidence zinaonyesha wazi ni mahakama sio chizi yeyote barabarani akiwemo mleta mada au wewe
 
Karma .... Hivi TL kweli hajui nani akiwatuma waluomshambulia??? Mbona hajawahi kusema hadharani ??
 
Huo wehu wako ni wa kuzaliwa nao au umeupata utu uzimani
 
Kwaio ndo maana CCTV ziliondilewa kwa kalemani, uchunguzi huru umekataliwa, kusoma albadiri kulizuiwa sababu Chadema ingeumbuka vibaya sana ila sababu ya mapenzi makubwa ya serikali kwa chadema ikaamua isitishe yote hayo mkuu si ndio?
 
kulipa kisiasasiasa ndio vipi mkuu
 
Umejuaje Magufuli ndiye Kaini aliyetajwa.
 
Mleta mada naona kajipa cheo cha mwenyezi Mungu na mahakama kujua nani damu yake imemwagika kwa haki na nani siyo!!!!

Mada kaiandika kijuaji wakati evidence hana kajaa assumptions tupu na hisia koko za kisiasa tu
Kitu cha msingi ni ujumbe kufika.
 
Mkuu vipi ikitokea kila siku wewe ni mtu wa kusingiziwa tu vitu tofauti tofauti haiwezi kuwa ni kazi ya karma kwa matendo yako mengine ya ovyo ambayo umekuwa ukiyafanya?
 
Nafikiri ni muda mwafaka sasa uielekeze Serikali ndani ya Chadema ni Nani hasa aliyehusika kifyatua risasi ili Sheria uchukue mkondo wake.Ni wazi inaonekana unajua jambo hilo kwa undani kuliko Serikali na Vyombo vyake Vya ulinzi.
 
Anayetakiwa kusema circumstantial evidence zinaonyesha wazi ni mahakama sio chizi yeyote barabarani akiwemo mleta mada au wewe

Kwani hizo Mahakama zina ongozwa na Malaika ?.Kama kweli zingekuwa zinatoa Haki Sahihi na kwa wakati ni kwa nini pakawepo na Mahakama za Rufaa ?.Au unafikiri walio uunda huu Mfumo hawakuwa wakifikiri sawa sawa !!?

Tena Chizi anaweza akawa mkweli kuliko hao walinda Vyeo walio kwenye Taasisi zinazo takiwa kutoa Haki bila ya upendeleo.
 
Women's wombs bear faeces
 
JPM amekujaje hapa? Nimetaja taifa Siyo kiongozi, omba upate hekima hata kidogo tu
 
Tatizo lako nini hasa?
 
Mleta mada naona kajipa cheo cha mwenyezi Mungu na mahakama kujua nani damu yake imemwagika kwa haki na nani siyo!!!!

Mada kaiandika kijuaji wakati evidence hana kajaa assumptions tupu na hisia koko za kisiasa tu
Duh...uwe unasoma mada na kuitafakari kwanza unakurupuka kuchangia wakati hujaelewa lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…