Damu yangu kwa mke wa mtu

Kwa mujibu wa dini ya kiislam kinachozaliwa kwenye ndoa ni cha mwenye ndoa hata kama hakitokani na yeye. Hata mume atambue kuwa mtoto sio wake wakati kazaliwa kwenye ndoa ni mwanawe na atarithi. So kuhusu mtoto kinadharia ni wako but kiuhalisia na kimisingi ya dini hakuhusu. Kuwa mpole na muache mtoto apate haki kwa baba wake wa kwenye ndoa
 
Kikwetu tuna msemo usemao "Nnemeleja adena nguda", tafsiri "Kijakazi/kibarua hana shamba". Kwa maana kwamba unapolima shamba la mtu tambua Hilo sio shamba lako na mwenye kufaidika na mavuno ni mwenye shamba.

Ukikubali kuzaa na mke wa mtu wewe ni sawa na Kijakazi wa mwenye shamba.
 
kibarua hana shamba.........!! ukiisha lima kazi yako imeisha mazao ni ya mwenye shamba.
 
Ulishawahi kusikia mtoto kapotea? Ni figisu kama zako mwisho wa siku unamwiba mtoto na mji unahama kabisa, jihadharini sana na wanawake wa siku hizi ni sheeder sana, PILI ni waongo sana, hawakubali Kusema ukweli. I hate this kind of life total

Sijakupata
 

Kasinde sijapata hoja yako mama.
 

Kweli?
Mbona nlisikia mtt wa zinaa ni wa mama.
Pia mm mtt alionesha kujutia sana hicho kitendo lkn tangu anijulishe khs mtt, amekuwa mtu wa kuhitaji sana ushiriki wangu ktk malezi y mtt,
Pia nahic hata kama nikimkwepa,
Ukweli utakuja julikana tu.
 
Mhh... huogopi mke wa mtu

Nliogopa nkakaa kando,
Bt hili la mtt ndio limekuwa mtihani mkubwa kwangu,
Nimpe makavu live huyu bibie, half nisepe?
Na kesho mtt akinitafta nimkane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…