Damu mimba wiki ya 11

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚utanifanya niwehuke Yan shida hizi nazopitia saa hizi Niko macho halaf uje umteke naona itakua umeamua kuniua kwa kukusudia nitapata tabu Sanaa labda uje umsalimie urudi usimteke bana
Mimi nasubiri tu nije nimteke huyo mtoto kwa kunipenda, mimi ni kinara wa kupendwa na kupenda watoto sijui kwa nini...
 
utanifanya niwehuke Yan shida hizi nazopitia saa hizi Niko macho halaf uje umteke naona itakua umeamua kuniua kwa kukusudia nitapata tabu Sanaa labda uje umsalimie urudi usimteke bana

Kumteka kwangu ni kwamba nitamfanya anipende mimi sana maana nitakuwa rafiki yake wa karibu sana.

Huwa nakuwa bega kwa bega kucheza na watoto ndio maana wananipenda, kwa hiyo akiwa na wewe, mimi nikitia mguu anakuja kwangu na kukuacha
 
Kuna muda atakuja tu kumtaka maa yake anyonye Yan sipati picha nikijifungua salama inshallah naona sitolala ntakua namchungulia tu yupo
 
Poleni sana hakuna mimba tena hapo na vizuri kuwahi hospitali.

 
kwa Nini mnawakomoa
Sijui kwa wenzangu, ila mimi simkomoi hali hiyo inatokea katika mpango mzima wa kuhondomola!!
Kwanza kabisa maumbile yangu makubwa kwa wastani, kiasi tukifanya huwa ananiambia inagota mwisho, nae mizuka ikimpanda huwa anaitaka yote kwa mwendo wa nga nga nga!! Hapo ndio anakuwa kikojozi kama mwendawazimu.
Tumejaribu kujizuia imeshindikana,
Halaf isitoshe mimba zake hazitaki kashikashi!! Hata akihangaika na vikazi kidogo huwa kuna uwezekano wa kuchomoka, sasa tumeamua safari hii ikipatikana tuache mpaka kwichi kwichi!! Maana wifi yako anapokuwa anafika mshindo mkuu huwa ni patashika nguo kuchanika.
 
Nimecheka sana Kama mazuri vile Sasa mnajua akibeba hataki Mambo mazito kwa nnmsijizuie mpaka mimba ikakomaa?? Jitahidini bana s ajabu saa hizi ungekua unaitwa baba na namsifu Mimi Kuna muda sitaki hata kuiona sura ya mwenzangu sembuse hayo mambo
 
Haaa wew mama mjamzito na shoo za kibabe wapi na wapi tena? Hali kama hyo watu wanawahi hospitali haraka sana ni dalili mbaya kwa mama mjamzito anaweza akawa amepata miscarriage au ikawa thretened abortion hakutakiwa kushinda nyumbani hata kidgo, alipoona tone tu alitakiwa mbio hosp. Ila kila la kheri Mungu atasaidia
 
Reactions: BAK
Wwe haujui kama mimba ikiwa changa , fuko linakua halijakomaa vzuri utapigaje shoow ya kibabe kwa mda huo

Sasa umemuua mwanao kwa upuuzi wako

Si ungepiga za ki officer kam hauwezi si ungevumilia kwa mda
 
Mwingine anaogopa m'ume kuchochora kwingine anaamua ajikaze ili m'ume asichepuke, kumbe unaumia mwenyewe maana hata ujikaze vipi bado kama kapanga kuchepuka atachepuka tuuuu. Ni heri mtu ujijali afya yako
ni kukomoana best Kwanza hata hao wake zao nawasifu wengine kipindi mimba ni changa hatutaki hata kuguswa
 
Nimecheka sana Kama mazuri vile Sasa mnajua akibeba hataki Mambo mazito kwa nnmsijizuie mpaka mimba ikakomaa?? Jitahidini bana s ajabu saa hizi ungekua unaitwa baba na namsifu Mimi Kuna muda sitaki hata kuiona sura ya mwenzangu sembuse hayo mambo

Hahaa!! Hayo mambo ya kutotaka kuona sura ya mwenzio mambo ya kawaida tena mimba kwa mimba!! Mimba ya kwanza mwanzoni kabisa ilikuwa hata nitoke kuoga atasema nanuka jasho, nikijipulizia manukato yale yale ambayo huwa anayasifia kusema anayapenda alikuwa analalama yanamnukia vibaya.. Ila baada ya muda akatulia ikawa kawaida

Kwani ikishakomaa ndio itakuwa haisumbui, lakin sidhan kama mimba ikiwa kubwa nitaweza kumpelekea moto haswaa!! Hii tumbo tu dogo nampelekea moto kwa uwoga huku namuonea huruma!!
Sawa tutajitahid, sasa hiv tumekubaliana mimba ikipatikana aende home akatulie.
 
Mrejesho Mkuu, vipimo vinasemaje? Bado kuna mapigo ya moyo au yamepotea?

 
Na kweli lakini pia sisi wanawake wengine hua wanakua na ham mnoo wengine ndio tunabana miguu
Mwingine anaogopa m'ume kuchochora kwingine anaamua ajikaze ili m'ume asichepuke, kumbe unaumia mwenyewe maana hata ujikaze vipi bado kama kapanga kuchepuka atachepuka tuuuu. Ni heri mtu ujijali afya yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ