Damu mapande mapande

korino

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,004
659
Habar zenu wana jf!

Nna rafk angu anasumbuliwa na tatizo lakubld mapande ya damu kama maini awapo kwenye cku zake! Na damu inakuwa nyeusi yenye utelezi mzito, haumwi na tumbo wala kitu chochote ila inamtia waswasi.

Je, hali yakawaida au ana tatizo, ana umri wa miaka 30.
 
Sina uhakika kama ni tatizi ilinitokeaga zamani nikiwa nasoma na niliona ni kawaida ikaisha yenyewe hata sijui iliishaje
 
hilo ni tatizo zito sana!!! uliza kama idadi ya pad anazotumia cku hz zmeongeza???

anaweza ikawa ni Uvimbe kwenye mfuko wa uzazi, au Ana tatizo la hormoni, au menses zlizopitiliza so amuone daktar haraka sana!!!!
 
Ni tatizo aende akamuone gyno..mimi ishawahi kunitokea.matokeo yake ikawa overbleed mpaka nikikaa inashuka..nikaenda hospital nikatibiwa..atafute gyno mzuri...mimi nawajua wa aghakhan kuna shafiq na kuguta wazuri sana..na ndio walinisaidia lakini unaweza kumwambia aende muhimbili wako magyno wengi pia..good luck
 
du asante..tuko mkoan ntamwambia lkn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…