Damu hii itawatafuna | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Damu hii itawatafuna

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Benno, Jan 13, 2011.

 1. B

  Benno JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Damu hii.jpg
  Inasikitisha sana.
  JK aliwakilishwa na nani katika hili?
  JF UTA TOA TENA NA HII POST?
   
 2. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,506
  Likes Received: 1,231
  Trophy Points: 280
  imewatafuna sana
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  itawatafuna sana tu!
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nyie nao,mnaendeleza tu kila sehemu kuanzisha thread ile ile!unakua uchafu sasa
   
 5. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  .....unaonekana ni mmoja wa wale ambao damu ile inawaandama na kuwatafuna.......! lipi ni uchafu zaidi....kuongelea sana mauaji yale au mauaji mliyoyafanya......? tunajua hamtaki kusikia mambo yale yanaongelewa lakini kumbuka historia imeshaandikwa na will be spoken and taught kwa vizazi vyote......!
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Auae kwa bunduki nae atakufa kwa bunduki...
  Damu iliyo mwagika itawatafuna mmoja baada ya mwingine
   
 7. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Aliyeua kwa upanga atakufa kwa upanga.CCM damu itawatafuna hadi kaburini
   
 8. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  'Let the Dead Bury Their Own Dead'-------------- Matthew 8:22
   
 9. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  poleni sana wafiwa na waathirika wa kadhia hii; damu na mateso yenu hayatapotea bure; mungu atalipa hapa hapa duniani kwa wakati wake
   
 10. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,559
  Likes Received: 1,325
  Trophy Points: 280
  Hakika Dunia itapita lakini hili jambo halitapita
   
 11. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Makamba type.. literal translation...
   
 12. Antonov 225

  Antonov 225 JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa wewe utamezwa bila kutafunwa mzima mzima
   
Loading...