Dame Dash: Jay-Z ananuka Mdomo!

bless on

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2026
Posts
710
Reaction score
1,662
Mwanzilishi Mwenza Wa Roc-A-Fella Records, Dame Dash Akiwa Kwenye Mahojiano Na Podcast Ya 'The Art Dialogue' Amedai Kuwa Jay-Z Alikuwa Akitoa Haruf* Mbaya Mdomoni. Huu Ni Muendelezo Wa Ugomvi Wao Wa Muda Mrefu Tangu Kuvunjika Kwa Ushirikiano Wao Wa 'Roc-A-Fella Records' Waliyoianzisha Pamoja 1994.

Dame Dash alienda mbali zaidi akidai kwamba Jay-Z alikuwa akitafuna Big G (gum) iitwayo "Big Red" ili kuficha haruf! mbaya ya mdomo, lakini Dash Anadai Hata Hiyo Big G Haikusaidia Kitu.

Hii Ni Baada Ya Jay-Z Kufanya Freestyle kwenye tamasha la Roots Picnic ambayo wengi waliitafsiri kuwa na vijembe dhidi ya Dame Dash, Na Hivyo Dash Kujibu Kwa Kukosoa Performance Yake, Muonekano Wake, Nywele Zake Na Hata Kuwa Na Harufu Mbaya Ya Mdomo.

Wawili Hawa Walianzisha 'Roc-A-Fella Records' Mwaka 1994 Na Ushirikiano Wao Ulikuja Kuvunjika 2004, Mwaka ambao kampuni hiyo ilinunuliwa kikamilifu na Def Jam, na Jay-Z akateuliwa kuwa rais wa Def Jam, jambo lililosababisha Ushirikiano wao kibiashara kuvunjika.
 

Attachments

  • FB_IMG_1780650628114.jpg
    208.6 KB · Views: 9
inawezekana hakusukutua vema mdomo wake siku hiyo,
kujisahau kupo ndugu zangu πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…