Dalili za Uchumba sugu

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,331
12,647
Uchumba sugu ni uchumba unaokaa kipindi kirefu (zaidi ya mwaka) tangu

kuchumbiana hadi kufunga ndoa kamili (wedding) na kuoana (mariage).

Uchumba sugu sio kitu kizuri kwasababu ni chanzo cha wasiwasi na

malalamiko kwa wachumba, wazazi, ndugu, watu wa dini na marafiki wa

karibu kwasababu mara nyingi uchumba sugu unaishia kwa uchumba kufa

au wachumba kuendelea kuishi kama mke na mume kwa muda mrefu bila

ya kufunga ndoa (cohabiting).

Sababu za uchumba sugu:

• Kipato kidogo cha mume
• Ukososefu wa ajira (unemployment)
• Mapenzi kabla ya ndoa
• Uchumba usiofahamika kwa wazazi
• Uchumba unaopingwa
• Ngono kabla ya ndoa
• Masomo: Wachumba wanaoendelea na masomo wanachelewa kuoana.
• Ajira: Kuna aina za kazi na ajira zinazokataza au zinazochelewesha kipindi cha kuoa na kuolewa
• Mahari kubwa
• Kuwa na wachumba, wapenzi au wake wengine: Mchumba mwenye mchumba, mpenzi au mke/mume mwingine ni vigumu kuchukua uamuzi wa kuchagua mchumba au kuongeza mke mwingine

• Ulaghai: Wako wanaume na wanawake wanaowalaghai wenzao kuwa wataoana kumbe sio kweli ni ulaghai tu wa kutaka kufanikisha malengo yao. Epuka kutafuta mchumba ukiwa umelewa, una shida kubwa au ukiwa sehemu za starehe, baada ya ulevi, starehe na shida kwisha kuoana kutakuwa hakupo tena.

• Kukwepa majukumu ya ndoa na familia:

• Harusi za kifahari: Wako watu wanaochelewa kuoana kwasababu tu ya kutaka kuandaa harusi za kifahari kama au zaidi ya zile za akina fulani na fulani.

• Kulazimishwa mchumba: Kulazimishwa mchumba usiyemtaka kunaweza kuchelewesha uwamuzi wa kufunga ndoa.

• Kuchunguzana tabia: Wako wasiopenda kufunga ndoa na mtu kabla ya kupata taarifa muhimu zinazomhusu mtu huyo kama vile tabia, kazi, magonjwa, uhusiano wa mapenzi au ndoa na watu wengine, n.k.

• Umri mdogo: Yako makabila yanayochumbia watoto wadogo na kuwasubiri hadi wakue ndipo waoane.

• Kutia juhudi: Wachumba lazima waongoze juhudi za kuusukuma uchumba wao ili usonge mbele kuelekea kwenye kuoana kamili. Kila siku lazima kuweko na mawasiliano ya namna ya kupiga hatua mpya za kusogelea tarehe ya kuoana.

Dalili muhimu za uchumba unaoendelea vizuri ni pamoja makubaliano ya wachumba na wazazi wa pande mbili kuridhia uchumba, kuutangaza na kuuweka bayana uchumba, kutoa barua, kutoa mahari, kupanga tarehe ya kuoana, kuendelea na vikao, n.k
 
Nimeandika na kufuta.
Kabla ya yote naomba mtoa mada u define uchumba, maana kila mtu aweza kuwa na maana yake.
 
Kama wamekubaliana na wanaishi pamoja mnachokitaka kingine ni kipi kama siyo utapeli wenu mnaouita kufunga ndoa?
 
Ukiona mchumba wako anataka ngono na wewe kila wakati mkionana, na kwenye ngono hiyo mara kanyonya, mara kanusa, mara kashikA mara kalamba, mara anataka nyuma mara kile, jua kuwa hapo hakuna muoaji. Mchumba wako hawezi kukukubalia utumie dawa ya kuonggeza weupe ngozi yako.
 
Nimeandika na kufuta.
Kabla ya yote naomba mtoa mada u define uchumba, maana kila mtu aweza kuwa na maana yake.
Uchumba namaanisha ni mtu aliyekuahidi au unaemtarajia muoane. Anawezakuwa amefikia hatua ya kujitambulisha kwa ndugu zako; wazazi, ndugu au rafiki zako.
 
Sababu nyingine ni mmoja kuwa king'ang'anizi wakati hapendwi. Hapo ndipo yule asiyependa ataanza danadana.

Mkipendana huwa kila mtu anatamani ndoa ifungwe hata usiku huo huo.
 
Back
Top Bottom